Kwa nini waafrika wengi wako conservative mno kimapenzi

Dah!......................nakuonea huruma sana.................najiuliza umetoka familia ya aina gani...................KIMTAZAMO.....NA ......KIUWEZO.

KWA NINI UNAIDHALILISHA HIVYO FAMILIA YAKO??????????????????????

Naomba Mungu anipe uvumilivu nisirudi TENA kwenye hii thread!
 
Hao wazungu ndio haswa wenye tabia ya kula tigo kiutamaduni. Nimeuliza tu hiyo siyo tabia mbaya zaidi kuliko ile ya mwafrika kushindwa kufanya kazi za mke mke wake?
Mwanaume wangapi wakitanzania wanawatia wanawake wao nyuma na sio magay.kama unamtia mke wako nyuma wewe ni gay.
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?

Labda Uporoto nae atujuze kwa nini dada yake alipofariki kule UK, mume mzungu akaitelekeza maiti na akaingia mitini. Huyo mumeo nafikiri kosa analolifanya ni OVERGENERALIZATION. Kuna wazungu ambao vilevile ni very conservative. Tabia ya mtu ni hulka yake binafsi. Haijalishi color of his/her skin.
Mbona kuna imani kati wa wanaume wengi wa kiafrika kuwa wazungu ni wachafu na wana sifa ya poor personal hygiene? Nimedate madem wazungu kadhaa, yes wengine wanapendeza, wamevaa nguo nzuri utadhani ni models, blonde/brunette lakini mkiingia 6X6 utadhani uko soko la papa, ng'onda ama nguru tena waliooza? Sasa ntasema wazungu wote wachafu?
 
Pure limbukeni. ina maana wewe ume test wanaume wote wa kiafrika au! maana huo utafiti wako umeufanyia wapi?
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?

Maneno yako si kweli, yaani siku zote unapikiwa chakula na mumeo ? labda sema mume wako anakusaidia kupika hapo nitakubali. wanawake wengi wa kizungu wanapika katika nyumba zao.

Pili umewatukana wanaume wote wa kiafrika hilo ni kosa lako la pili, wanaume wote wa kiaafrika hawawezi kuwa na tabia moja, mimi ninauhakika kuna wanaume wa kiafrika wengi wenye tabia bora kuliko mume wako huyo (Mzungu) unae msifia

Umeolewa na mzungu ndio uanze kutukana ndugu zako kwani na wewe ni nani ?
 
doka 2000 kwa siku
ina maana ni dola elfu sitini kwa mwezi
na zaidi ya dola laki saba kwa mwaka......

na watu kweli mmejadili upuuzi huuu
 
Mume wangu ana law firm na ni kweli kila lunch lazima arudi nyumbani kuhakikisha nimela hata friji ananifungulia . Sidanganyi ni kweli mnashangaaa.
Maneno yako si kweli, yaani siku zote unapikiwa chakula na mumeo ? labda sema mume wako anakusaidia kupika hapo nitakubali. wanawake wengi wa kizungu wanapika katika nyumba zao.Pili umewatukana wanaume wote wa kiafrika hilo ni kosa lako la pili, wanaume wote wa kiaafrika hawawezi kuwa na tabia moja, mimi ninauhakika kuna wanaume wa kiafrika wengi wenye tabia bora kuliko mume wako huyo (Mzungu) unae msifiaUmeolewa na mzungu ndio uanze kutukana ndugu zako kwani na wewe ni nani ?
 
Mume wangu ana law firm na ni kweli kila lunch lazima arudi nyumbani kuhakikisha nimela hata friji ananifungulia . Sidanganyi ni kweli mnashangaaa.

Inawezekana kwa ajili ya uvivu wako ndio maana kila kitu anakufanyia (hata kukupikia) na hali wewe ni mwanamke (angalia usije uka-over weight, mzungu wako huyo ata ku-kick out)
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?

Jibu unalijua hata mtoto wa darasa la 2 angekwambia: Utamaduni tofauti. Ila sema, wewe nia yako unataka kujisifia tu kuolewa na Mzungu na hayo maisha ya anasa unayodai kuishi. Nyambaaf!
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 7th February 2011
Location : Blue Lagoon
Posts : 972

Rep Power : 24

[h=2]
icon1.png
Re: ............................................[/h]

Mie kwa kweli nafanya kazi ila nachopata natumia kwenye ishu ndogondogo tu, ila mume wangu anapenda sana kunihudumia kwa kila kitu,mwanzo nilipoanza kazi nilijitutumua kufanya hili na lile nikawa naona maswali yanazidi na ananiambiaga ikifikia wakati wa mimi kuchangia wala sitasubiri aseme nitaona mwenyewe,maana hizi thread za kuchangia gharama wakati mwingine zinanishika hadi namuuliza, mie najitahidi sana kuhakikisha anakuwa mwenye furaha na amani, smart na msafi, anakula na kushiba , na kumbuka sipiki kila siku mie nikitaka kupika lazima awe hayupo akiwepo, kama haji jikoni basi lazima aniambie niache kupika nikakae nae either chumbani au sitting room, ila nae akianza yale mambo yake huwa hapatoshi humu, all in all hakuna nachoshindwa kuki handle na hapo sijaolewa kwa ndoa nikiolewa itakuwaje sijui lakini niombeeni ndugu yenu wajameni-Shantell

Haya wewe Yo Yo angalia Shantel ana mwafrika mwenzake na testimony yake ndio hiyo. Mwambie huyo mzungu wako atembee aione dunia. Inawezekana alikulia ktk trailer park

Sasa unataka kulinganisha tamaduni zetu na hao jamaa,
kwanza uchumi wao unawaruhusu,kama kupika hatumii kuni ama mkaa,kufua haendi mtoni yeye ni mashine ndani kwa ndani.
Acha hz,fikiria kwa kina kbl hujaandika upuuzi wako cku nyingine.
 
Siwafichi mwanaume wangu anataka kuwa na mimi all the time .kuna housekeeper anasafisha nyumba ila mimi nimesahau hata kupika
Sasa unataka kulinganisha tamaduni zetu na hao jamaa,kwanza uchumi wao unawaruhusu,kama kupika hatumii kuni ama mkaa,kufua haendi mtoni yeye ni mashine ndani kwa ndani.Acha hz,fikiria kwa kina kbl hujaandika upuuzi wako cku nyingine.
 
Ungejua mama angu bonge la fisadi mnamtetemekea.
Dah!......................nakuonea huruma sana.................najiuliza umetoka familia ya aina gani...................KIMTAZAMO.....NA ......KIUWEZO.KWA NINI UNAIDHALILISHA HIVYO FAMILIA YAKO??????????????????????Naomba Mungu anipe uvumilivu nisirudi TENA kwenye hii thread!
 
Maneno meengi ya nini, weka wazi tu kwamba umezikumbuka mashine za kikwetu, acha kujifaragua, fanya uni pm address yako.
kuhusu mashine hiyo ni njia ya mwanamme wa kiafrika kujiplease ili na wao waonekane wako superior at least kwenye hio area but sio kweli mashine za kizungu na kiafrika hazina tofauti labda kwa watu wa asia wao ziko tofauti.kuhusu ushoga, africa ulikuwepo toka enzi za mababu hata kuna mfalme kwenye moja ya dola za west africa alikuwa ana lala na wanaume sema kwa upende wetu afrika mambo mengi hayakuwa documented na yalifanyika kwa siri sana. so tusilaumu wengine sana
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?

Hongera kwa maisha yako ya kusadikika :) Waswahili walisema ukishikwa shikamana :) Kila la heri katika raha zako.
 
ungejua hao wazungu 'ke'wanavyofil maniga usinge talk ata ziropercent,we ushamba ndo unaokusmbua
 
Itakuwa siyo US....plus,inaonyesha wazi kabisa unachukia wanaume wa kiafrika in general.Kwa sababu wazungu wengi ni very conservative,waarabu,wahindi,wachina...most people are conservative.
 
Back
Top Bottom