Kwa nini udsm inaongoza kwa migomo na maandamano kuliko vyuo vyote tanzania

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Jamani tokea nimezaliwa hadi leo nimekuwa mkubwa .....nimekuwa nikisikia udsm kila mwaka lazima kuwepo na
migomo na maandamano........lakini vyuo kama ifm,ustawi,cbe,muccobs,mzumbe na vinginevyo.......sijawahi hata siku moja toka nizaliwe kwamba kuna maandamano wala kusikia kuna migomo.......hebu naombeni mtusaidie why udsm every year migomo na maandamano
 
Wameshajikomboa kifikra na ndo cream ya taifa kwa hiyo lazima wapambane kwa ajili ya wengine.upo hapo!
 
kirefu cha UDSM ndiyo sababu yenyewe.................kukurahisishia pale ndo kisima kikubwa cha Elimu kiwa Tanzania
 
mimi bado hata sijaelewa .........kusema kisma cha elimu.....una maana gani kwani kuna vyuo vingine vizuli tuu
 
Back
Top Bottom