Kwa nini tunapenda??

subzero

Member
Jan 15, 2011
86
4
Najiuliza maswali mengi kuhusu hili neno nakupenda, huwa tunalitumia sana lakini likija swali la sababu ya kupenda, huwa tunajikanyaga kujibu mara sijui tabia yako, mara uzuri, unapika vizuri na kadhalika. Lakini swali liko pale pale wanajamii, wewe kama wewe kiukweli unajua unampendea nini mpenzi wako?? They say knowledge is power, plz tuungane kijibu hili.
 
Kwasababu yuko alivyo!Tabia zake..muonekano wake na mengineyo!Pamoja na kuniboa now and then lakini bado anajua jinsi ya kurudisha furaha yangu!
 
nilipomwona kwa mara ya kwanza moyo ulipiga paaa! Lakini sikumkosa,,, nampendea nini? Da! Hilo sifahamu ila the whole package of her ilinifanya nimpende..... But unfortunately baadaye nilikula chambavu....
 
Kwasababu yuko alivyo!Tabia zake..muonekano wake na mengineyo!Pamoja na kuniboa now and then lakini bado anajua jinsi ya kurudisha furaha yangu!

hayo ndo huwa unamwambia, lakini ni kweli ndo unachompendea au unajipa moyo kujijengea hoja ili hata akikuuliza ujisikie wasema ukmweli?
 
nilipomwona kwa mara ya kwanza moyo ulipiga paaa! Lakini sikumkosa,,, nampendea nini? Da! Hilo sifahamu ila the whole package of her ilinifanya nimpende..... But unfortunately baadaye nilikula chambavu....

akikuuliza huwa unamjibu nini?
 
My dear tunapenda kwasababu tunapenda kupendwa. .

Hilo swali lingine ntakujibu baada ya miezi kadhaa..
 
Very very very difficulty to describe! Utazunguka weee, utajikanyaga weeee, lakini ni vigumu sana kueleza. Hasa kama hisia za penzi zimegota kwenye mfupa.
 
kiukweli kabisa ukimpenda mtu toka moyoni huwezi jua sababu kwakua ukijua sababu niamini hutampenda tena huyo mtu, thats a secret of love, nikitu ambacho kipo na wenyewe hatukijui.
 
hayo ndo huwa unamwambia, lakini ni kweli ndo unachompendea au unajipa moyo kujijengea hoja ili hata akikuuliza ujisikie wasema ukmweli?
Nijenge hoja kuhusu nimpendae hapa JF ili iweje??Na nijipe moyo upi uliambiwa sina?
 
Nijenge hoja kuhusu nimpendae hapa JF ili iweje??Na nijipe moyo upi uliambiwa sina?

ninachosema ni kujijengea hoja moyoni ili pindi unapoyasema hayo ujione unasema ukweli toka moyon lakin ukweli unabaki palepale
 
ninachosema ni kujijengea hoja moyoni ili pindi unapoyasema hayo ujione unasema ukweli toka moyon lakin ukweli unabaki palepale

We umeuliza swali nimekujibu sasa naona unataka kunichambua mimi!Aliyekwambia nahitaji kujijengea hoja ni nani?Sina sababu ya kujidanganya wala kudangaya!
 
Back
Top Bottom