Kwa nini TFDA hawatangazi dawa hatari za waganga wa kienyeji?????

ASKOFU MSAIDIZI

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
209
23
Siku hizi waganga wa kienyeji wanasajiliwa na wizara ya afya na wanapeleka dawa zao kwa mkemia mkuu. Sasa kuna dawa za kienyeji ambazo ni hatari , kama matunguri kwani yanaqua watu!!!

Sasa kwa nini tfda hawatangazi na kupiga marufuku dawa hizi???

Zipo dawa za kuongeza makalio , dawa za kichina, na makampuni mengine kama tiens,gnld, forever living n.k


prof. Kapuya ni meneja wa kampuni la forever living shirika la dawa za kienyeji!!!
 
Back
Top Bottom