Elections 2010 Kwa nini TBC1 Ilichelewa Kurusha Mahojiano ya Jana Usiku Hewani?

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Na kupelekea Wananchi tulio wengi tusione jinsi maswali ya mwanzo yalivyojibiwa!
 
wanataka waseme hata wao matangazo yanakatika to crush slaa complains kuwa hukatiwa matangazo, lakini wao tv zote zao hata ccctv ya china:A S-baby:
 
Muundo wa Serikali aliotueleza mheshimiwa JK sikuuelewa vizuri kwenye swali lililoulizwa. Kuna mtu anaweza kutufafanulia vizuri?
 
Muundo wa Serikali aliotueleza mheshimiwa JK sikuuelewa vizuri kwenye swali lililoulizwa. Kuna mtu anaweza kutufafanulia vizuri?
Si wewe tu hata mimi sikuelewa jibu alilotoa Kikwete, nakumbuka alijibu muundo wa serikali yake ni kuondokana na utegemezi wa Typewriter na kuanzisha mitandao imsaidie hata anyeomba Viza Sengerema asihangaike kuja Dar, jamani hilo ndilo jibu lake na mimi nisaidieni uwezo wa kufikiri wa huyu mtu.
 
Back
Top Bottom