kwa nini tbc

Mavella

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
459
75
wana jf kwa nini televisheni yetu ya taifa wakati wakuonyesha mpira wa live kutoka uwanyani wanashindwa hata kuweka muda (dakika) wa mchezo kwa mfano wakati wa mashindano ya chalenge waliboronga sana je ni vipi wanashindwa?
 
Vilaza tatizo wanaridhika hovyo na hali iliyopo si unajua tena taasisi ya serikali!!!!
 
Waige star tv wanajitahidi katika kutuletea soccer, halafu huwa sielewi mitambo kukatika hovyo sijui ni kwa nini???
Wakati wa taarifa ya habari pia unakuta akina Msami na Kingalame wamejiachia yaani hovyoooo...mara wameshika vichwa...mara wengine koti halijakaa vema yaani ILIMRADI tu.
Natamani ITV wangerudia kuonyea UEFA champions league kama miaka ileeeeee......
 
Back
Top Bottom