Kwa nini Tanzania mishahara ni midogo

Kuna kazi nyingi Bongo zinalipa vizuri tuu - mpaka masekretari wananunua magari!. Mwanangu zamani haikuwa hivyo. Nenda pale mlimani City and observe how big the middle-class has become.

I sympathize with teachers - they deserve much more. Lakini kama wewe uko kwenye profession nyingine na hulipwi vizuri it is your f*** problem. Daktari kama hulipwi, go private. Naukiwa in private practice do a good job and uphold customer care practices. Otherwise, don't expect to get paid.

Kuna jamaa bongo is making a killing growing and selling watermelons. I think he is an agronomist. Watu wengi wana hama hama kazi hapa bongo ili kujiongezea mishahara, na wanafanikiwa. But, in private company the hours are long - so a change in work ethics is necessary.

True story: sikumoja nikiwa Steers ya mjini nilisikia watu wakijadili kwanini jamaa anatafuta kazi serikalini wakati yuko kwenye private bank. The answer was: "Mshahara sio mbaya lakini masaa ya kazi ni mengi - hata mtu unashindwa kufanya mambo yako..."

Draw your own conclusion....

My 0.2
 
sababu ni nchi bado changa ,lakini basi pale tu siku itakayo balekhe na mishahara itakuwa mikubwa
 
Kwa nchi kama hii ya Tanzania ambayo karibu asilimia 40% ya bajeti yake inafadhiliwa na wahisani, mishahara mikubwa kwa watumishi wa serikali walio wengi ni ndoto za mchana.

Pia mismanagement of public resources kama ATCL ambayo imepewa bailout ya zaidi ya Tshs 4bn hivi majuzi, inachangia katika kudumisha sekta nyingine. Wajua kwa fikra za kawaida za binadamu ni bora sebule (ATCL) iwe safi kuliko chumbani (sekta nyingine)kuwe kusafi.

Nachelea kusema ukiomba sana kwa wahisani hawa utapewa hata masharti ya jinsi ya kwenda msalani...

Suluhisho ni kufanya kazi kwa bidii (kuongeza tija), kuepukana na bajeti tegemezi na kumanage vema rasilimali yetu.
 
mishahara tz ni midogo.....

......cost of living iko juu sana..rent sasa hivi vyumba vi2 vya standard walau maji yanatoka mara 2 kwa juma umeme wako si chini ya $300....

......kwa wenye watoto shule ni balaa ukitaka mtoto wako asome kwenye walau shule za standard nzuri kindagarten tu si chini ya $500 kwa semister zao na kwa mwaka wana sem 3......sekondari ndio usiseme kuna za $2000....

.......gharama za usafiri kama una gari ni kiyama.....kwenda kazini na kurudi tu bila mizunguko yoyote si chini ya 20000 kwa siku hujala....

....weekend hujatoka...acheni bana....kwa mtu kama mie mmoja kwa mwezi m2 inakatika bila kujua.....

....nani anasema cost of living tz ni ndogo?

Nakumbuka niliacha kazi za kuajiriwa nikiwa nalipwa Tshs 2.5m, nilikata tamaa baada ya kuwa-organise wafanyakazi na kuwaeleza haki zao nao wakaongezewa mishahara kidogo wakafurahi as if wamekidhiwa shida zao!

Imagine:

Nilikuwa na expenses hizi:

  1. Daily naacha Tshs 30,000 kwa ajili ya makulaji home... Mwezi inakuwa ni Tshs 900,000/=
  2. Daily nilikuwa natumia Tshs 15,000 (kwa uchache) kwa simu, hivyo ni 450,000/- monthly
  3. Daily nilikuwa natumia petrol ya walau Tshs 20,000/- kwenye gari hivyo ni 600,000/= kwa mwezi.
  4. Monthly nilikuwa natumia Tshs 500,000/= kama kodi ya nyumba ili kukaa walau eneo lenye usalama kiasi.
  5. Monthly mlinzi alikuwa ananigharimu Tshs 120,000/=
  6. DSTV monthly ilikuwa almost Tshs 100,000/=
  7. Maji na Umeme monthly ni almost 100,000/=
  8. Service gari ni almost 150,000/= monthly.
  9. Daily nilikuwa natumia atleast 15,000 kwa lunch yangu na kinywaji kidogo nikitoka kazini... montly ni 450,000/=
  10. Matumizi yasiyoonekana (miscellaneous) kwa mwezi ni almost 500,000/=
Sasa hapo kuna vitu kibao ambavyo sijaviunganisha, nikajaribu kufikiria namna ya kukata matumizi ikawa tatizo sana! Nikaamua kupiga chini kazi ya kuajiriwa na kuamua kujiajiri. Ni ngumu kuanza, ngumu kuamua, ngumu kumweleza mwenzako (kwa walioolewa ama kuoa) lakini wakati mwingine inabidi kujilipua tu!

Ni maisha tu, mahala kwingine wanaofanya kazi sana wanalipwa kidogo sana, mahala kwingine ni kinyume chake!

Wengine wanajikuta wanafanya deals ambazo si salama kwao na kwa jamaa zao kitu ambacho naamini kwa Muumba ni dhambi.

Bongo kugumu, heri huku nilipo, kuna u-afadhali!
 
Mzee kama ungekuwa bongo tunge kuita fisadi kwa myumbulisho huo....hiyo nyumba ambayo unakaa nafikiri ilikuwa ina face bahari...

Bongo kwa kweli ni kijipanga kulingana na unacho pata kwani kikawaida huwa mishahara haitoshi...huyu alikuwa anapata 2.5 lakini matumizi ni makubwa zaidi ya hicho....kipato.Wenzetu wakija bongo wanashangaa tunavyo weza kujenga nyumba bila mokopo..tena kwa mishahara ya laki sita hata tatu.Ndio maana ukienda kwenye makampuni makubwa wafanyakazi hawasemi what they own...hata kwa marafiki zao..kwa kuwa zikifika kwa boss chances za kutoongezwa mshahara ni kubwa..kwa mfano:Bongo unaweza nunua used car kutoka japani kwa 7m.Lakini canada huwezi..kwa kuwa wao used hazina nafasi ya kuingia kwenye land yao....sasa manager wako ukimwambia una nyumba na gari ambavyo labda vimekosti 35m...kwa miaka minne uliyo fanya kazi....haielewi kwanini akuongeze mshahara...hajui kwanini hata kwenye michango ya harusi kazini na rambi rambi ulikuwa huchangiii..?

Am out.
 
Mishahara ni midogo kwasababu nyingi - ikiwa ni pamoja na ukweli kuwa serikali inaajiri watu wengi zaidi ya wanaohitajika na kwa msingi huo kazi zinazofanyika ni kidogo ukilinganisha na kinachopatikana. Input kidogo =output kidogo.Wage bill kubwa utai justify vipi? Linganisha na taasis nyingine kama sekta binafsi au mashirika ya kimataifa.Huko unakuta badala ya kuwa na dereva, mhudumu, mfagizi, sekretari na mesenja kama ilivyo serikalini (watu watano) kazi zote hizi zinafanywa na mtu mmoja.Fikiria mshahara uliokuwa ulipwa mathalani watu watano, analipwa mtu mmoja. Kingine ni kuwa serikalini kuna uvujaji sana wa fedha - matumizi mabaya/makubwa kwa wachache wakati wengi hawapati hata mshahara wa kutosha kujikimu.

hayo yote unayosema kuhusu tanzania hata nje pia wanafanya hivyo na mishahara yaqo ipo juu pia wengine hulipwa kwa masaa hata kama mtu asambaza zaeti au pidza analipwa kwa masaa na hela hioy inamkidhi mahitaji yake yooye

pia hata hela yetu kuwa na thamani ndogo pia inachangia mishahara kuwa kidogo
 
Kweli ulivyosema.. pia usisahau kuwa standard of living TZ iko chini ukilinganisha na nje.
 
Nakumbuka niliacha kazi za kuajiriwa nikiwa nalipwa Tshs 2.5m, nilikata tamaa baada ya kuwa-organise wafanyakazi na kuwaeleza haki zao nao wakaongezewa mishahara kidogo wakafurahi as if wamekidhiwa shida zao!

Imagine:

Nilikuwa na expenses hizi:

  1. Daily naacha Tshs 30,000 kwa ajili ya makulaji home... Mwezi inakuwa ni Tshs 900,000/=
  2. Daily nilikuwa natumia Tshs 15,000 (kwa uchache) kwa simu, hivyo ni 450,000/- monthly
  3. Daily nilikuwa natumia petrol ya walau Tshs 20,000/- kwenye gari hivyo ni 600,000/= kwa mwezi.
  4. Monthly nilikuwa natumia Tshs 500,000/= kama kodi ya nyumba ili kukaa walau eneo lenye usalama kiasi.
  5. Monthly mlinzi alikuwa ananigharimu Tshs 120,000/=
  6. DSTV monthly ilikuwa almost Tshs 100,000/=
  7. Maji na Umeme monthly ni almost 100,000/=
  8. Service gari ni almost 150,000/= monthly.
  9. Daily nilikuwa natumia atleast 15,000 kwa lunch yangu na kinywaji kidogo nikitoka kazini... montly ni 450,000/=
  10. Matumizi yasiyoonekana (miscellaneous) kwa mwezi ni almost 500,000/=
Sasa hapo kuna vitu kibao ambavyo sijaviunganisha, nikajaribu kufikiria namna ya kukata matumizi ikawa tatizo sana! Nikaamua kupiga chini kazi ya kuajiriwa na kuamua kujiajiri. Ni ngumu kuanza, ngumu kuamua, ngumu kumweleza mwenzako (kwa walioolewa ama kuoa) lakini wakati mwingine inabidi kujilipua tu!

Ni maisha tu, mahala kwingine wanaofanya kazi sana wanalipwa kidogo sana, mahala kwingine ni kinyume chake!

Wengine wanajikuta wanafanya deals ambazo si salama kwao na kwa jamaa zao kitu ambacho naamini kwa Muumba ni dhambi.

Bongo kugumu, heri huku nilipo, kuna u-afadhali!

Mzee hongera kidogo kwa huo mshahara wako kwanza

Mimi kunassehemu hapa TZ nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya wahindi
nadha mshahara ninaokutajia hu amini kasa nilikuwa nalipwa 43000 na chai asubuhi juu yako chakula cha mchana juu yako ni kukonda kama chelewa

Kazi pia ilikuwa ni ngumu tena ni hatari kwa afya na pia SERIKALI YETU inalitabua hili nadhani mpaka sasa walio baki hali ni ileile na chama cha wafanyakazi wanatambu

Yaani nashidwa kuelewa nchi yetu sijui ina jini la aina gani Lisilo TOKA
 
Unasema nini???? unacheza wewe naona.....
Wewe umesikia nini?.....

NIMESEMA STD OF LIVING IKO CHINI TZ... SO UKIENDA ABROAD USIANZE KU CALCULATE ILI UJUE NI KIASI GANI KWA PESA YA TZ!HUTAFANYA KITU WALA HUTAKULA.
Umenielewa sasa?
 
Tz inakuwa kwa nini na salary ndogo saana mpaka sasa hata hicho kima cha chini kilochesemwa hawatekelezi? inasababisha pia maisha kuwa duni maendeleo hakuna tufanye nini ili tuweze kupanza na kumudu masha?

wana JF tuambiane

Sababu kubwa ni ufisadi, rushwa na viongozi wasio na vision yenye maslahi ya nchi. Ufisadi wa EPA, Rada, Dowans, Twin Towers, Meremeta ni karibu Trillioni 1 na hii ni miaka michache tu. Imagine hii Trillioni kama ingeingizwa katika bajeti ya serikali na kulenga kuinua mishahara na marupurupu ya Wafanyakazi. Kama kuna nia ya kweli tunaweza kabisa kuweka kima cha chini kuwa shilingi 300,000 lakini kwa kuwa tuna viongozi waoga basi wakianza kutishwa na wenye viwanda na mabiashara yao kwamba hawawezi kumudu mishahara hiyo basi wataifuta haraka haraka.

Nimewahi kusikia kutoka kwa kingunge mmoja kwamba Barrick walitaka kuwalipa wafanyakazi wa chini equivalent na $700 ambazo wakati ule ilikuwa ni shilingi 700,000 mkuu mmoja akawambaia huo ni mshahara mkubwa sana wataishiwa kulewa, kuongeza wake na matanuzi mengine hivyo waupunguze. Hii ndiyo tunasema roho ya korosho, mbongo kingunge anawawekea kauzibe wabongo wenziye pamoja na kuwa siyo yeye atakayelipa mshahara huo.
 
Kinachotakiwa ni kuwa na Salary Scale ambayo itakuwa inatumika kwenye private sector na kwenye public sector. lakini kwa staili ya sasa lazima kutakuwa na kundi linalofaidika, na kundi litalokuwa na maumivu.
 
Sababu kubwa ni ufisadi, rushwa na viongozi wasio na vision yenye maslahi ya nchi. Ufisadi wa EPA, Rada, Dowans, Twin Towers, Meremeta ni karibu Trillioni 1 na hii ni miaka michache tu. Imagine hii Trillioni kama ingeingizwa katika bajeti ya serikali na kulenga kuinua mishahara na marupurupu ya Wafanyakazi. Kama kuna nia ya kweli tunaweza kabisa kuweka kima cha chini kuwa shilingi 300,000 lakini kwa kuwa tuna viongozi waoga basi wakianza kutishwa na wenye viwanda na mabiashara yao kwamba hawawezi kumudu mishahara hiyo basi wataifuta haraka haraka.

Nimewahi kusikia kutoka kwa kingunge mmoja kwamba Barrick walitaka kuwalipa wafanyakazi wa chini equivalent na $700 ambazo wakati ule ilikuwa ni shilingi 700,000 mkuu mmoja akawambaia huo ni mshahara mkubwa sana wataishiwa kulewa, kuongeza wake na matanuzi mengine hivyo waupunguze. Hii ndiyo tunasema roho ya korosho, mbongo kingunge anawawekea kauzibe wabongo wenziye pamoja na kuwa siyo yeye atakayelipa mshahara huo.

NOW IS 470,000 (Take Home). Minimum Wage.This is calculated plus over times.
 
Kauzibe Bongo ni kawaida. Mimi niliwahi ku-volunteer kwenye shirika fulani ambalo ni partnership ya Wabongo na Watu wa Nje; nilipewa offer ya pesa ya kujikimu na jamaa wa Nje ya pound 2000/month, Ma-boss wa Bongo wakadai eti ni nyingi sana ikalimwa mpaka pound 500/month initially, baada ya kutaka kugoma wakaona watazinguka wakaongeza kidogo... Can you imagine!?

Tulikuwa tuna-volunteer na mshkaji mmoja toka Nje yeye akaendelea kupata pound 2000/month na mimi najua waziwazi tena akawa ananiambia kama ninahitaji msaada kufikisha complains kwa wale jamaa anisaidie. Unadhani hata ufanisi wa kazi hapo utakuwaje?!
 
Lakini wewe si ulikuwa una-volunteer? Labda ndio maana mabosi wa kibongo waliiona ni nyingi sana!
 
Kinacho-matter sio ku-volunteer, mimi nilikuwa naweka msisitizo juu ya kauzibe.
Pesa inatoka huko "nje" sio kwa hao ma-boss, na wala sio kwenye upande wa Bongo wa program, sijui wanielewa. Hapo imekaa sawa wewe waona?
Mbaya zaidi nimeshadokezewa kiwango ambacho nitakuwa napewa!
 
Nimekupata vizuri sana!!
 
Mimi kuna sehemu hapa TZ nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya wahindi
nadhani mshahara ninaokutajia huwezi amini hasa nilikuwa nalipwa 43000 na chai asubuhi juu yako chakula cha mchana juu yako

Kazi pia ilikuwa ni ngumu tena ni hatari kwa afya na pia SERIKALI YETU inalitabua hili nadhani mpaka sasa walio baki hali ni ileile na chama cha wafanyakazi wanatambu

Yaani nashidwa kuelewa nchi yetu sijui ina jini la aina gani Lisilo TOKA
 
Kauzibe Bongo ni kawaida. Mimi niliwahi ku-volunteer kwenye shirika fulani ambalo ni partnership ya Wabongo na Watu wa Nje; nilipewa offer ya pesa ya kujikimu na jamaa wa Nje ya pound 2000/month, Ma-boss wa Bongo wakadai eti ni nyingi sana ikalimwa mpaka pound 500/month initially, baada ya kutaka kugoma wakaona watazinguka wakaongeza kidogo... Can you imagine!?

Tulikuwa tuna-volunteer na mshkaji mmoja toka Nje yeye akaendelea kupata pound 2000/month na mimi najua waziwazi tena akawa ananiambia kama ninahitaji msaada kufikisha complains kwa wale jamaa anisaidie. Unadhani hata ufanisi wa kazi hapo utakuwaje?!

On the question of kauzibe,

Hivi yale mabangon ya "Tip is not allowed" bado yako bongo?

Kama yapo watalii wakija wanatupnaje?
 
Back
Top Bottom