Kwa nini T(SH)

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,402
8,891
Hivi ni kwa nini serikali au makampuni au watu wa kawaida huwa wanaandika TSH (Tanzanian shilling) pale wanapotaja bei ya kitu? Kwa nini wasiandike tu Sh bila T? kwani tupo Tanzania kuna haja gani tena ya kuandika TSh? kila mtu anajua kwamba fedha inayotumika hapa kwetu ni shilingi ya Tanzania hivyo basi sitegemei thamani ya kitu iwe kwa Ugandan (USH) au Kenyan Shilling (KSH).
Swali langu ni je kuna ulazima wowote?
Kama kuna mtu anafahamu sababu hasa nitafurahi akaelezea!
 
Back
Top Bottom