Kwa nini Sitta asihamie CHADEMA tujue moja?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Obviously hakubaliani na mengi yanayoendelea ndani ya chama tawala na kutokana na kauli zake za public na private inaonekana hana interest na CCM na ni wazi anatekeleza ilani ya CHADEMA.

Sasa kama kweli anapiga sana vita ufisadi (assuming naye si fisadi), kwa nini asihamie CHADEMA once and for all kama wenzie ili kujua moja?

Maana huwezi kusema CCM chama cha mafisadi halafu ukawa bado unaishi kwa pesa za hao hao mafisadi unless Sitta anatufanya sisi wajinga.

au wenzangu mna maoni gani?
 
Bado kidogo, naye ni kama Nape hawajajua gamba ndio sera mpya ya ccm, ukivua Gamba unafukuzwa, au kufungiwa miezi 18, amboyo kwa experience ni miaka 18.:mod:
 
he is also one of them brother.. we si unaona jins alivyotaka kuanzisha ccj halafu akaingiliwa na mwenyekiti wake ndo akapewa uwaziri baada ya kutoswa uspika...
 
so its fair to say jamaa ni kigeu geu na inawezekana akawa naye ni FISADI sio au?
 
Sitta sio mtu mzuri hata akienda Chadema ataishia kuwa kama Mrema na NCCR mwisho wa siku atajiona mkubwa kuliko chama atatoka!
 
huku anakula pesa hizo hizo anazosema ni chafu na za mafisadi?

Yep. na kupata manjonjo yote kama spika mstaafu. Strategically he is better off abaki hapo hapo mpaka awe 'pushed' then he will have a huuuuge capital kwamba he was 'pushed'.....siasa mchezo wa kuviziana.
 
hivi huyu hana tuhuma zozote zile za ufisadi?

Is he as clean as he's portraying himself au bas tuu?

Je akihamia CHADEMA watampokea (assuming kama atakuwa na track record ya ufisadi)?
 
Obviously hakubaliani na mengi yanayoendelea ndani ya chama tawala na kutokana na kauli zake za public na private inaonekana hana interest na CCM na ni wazi anatekeleza ilani ya CHADEMA.

Sasa kama kweli anapiga sana vita ufisadi (assuming naye si fisadi), kwa nini asihamie CHADEMA once and for all kama wenzie ili kujua moja?

Maana huwezi kusema CCM chama cha mafisadi halafu ukawa bado unaishi kwa pesa za hao hao mafisadi unless Sitta anatufanya sisi wajinga.

au wenzangu mna maoni gani?

Mlimdanganya Mpendazoe hivyo hivyo akajimaliza mwenyewe !
 
hivi huyu hana tuhuma zozote zile za ufisadi?

Is he as clean as he's portraying himself au bas tuu?

Je akihamia CHADEMA watampokea (assuming kama atakuwa na track record ya ufisadi)?

Sitta ni mtambo wa ufisadi. To start with anzia pale mwl. Nyerere alimpokataa katakata. Kwanza sifa yake kuu ni ubadhirifu, nyumba ndogo nyingi, visasi, makundi na mbaya zaidi "unafiki". anaishi ktk kivuli cha unafiki, huvaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui! Ni fisadi wa kutupwa! Ndio muasisi wa "mapacha Watatu B" akiwa na akina Mwakyembe na Nape.
 
sasa mbona haishi kuwawakia wenzie?
 
Obviously hakubaliani na mengi yanayoendelea ndani ya chama tawala na kutokana na kauli zake za public na private inaonekana hana interest na CCM na ni wazi anatekeleza ilani ya CHADEMA.

Sasa kama kweli anapiga sana vita ufisadi (assuming naye si fisadi), kwa nini asihamie CHADEMA once and for all kama wenzie ili kujua moja?

Maana huwezi kusema CCM chama cha mafisadi halafu ukawa bado unaishi kwa pesa za hao hao mafisadi unless Sitta anatufanya sisi wajinga.

au wenzangu mna maoni gani?
Ana hamu sana ya kwenda cdm ila akiwaza msoto aliopata wa kuishi sevant kota kwa miaka 3 wakati nyumba yake ni govu kabla ya mkapa kumkumbuka na kumpa TIC naona inamwia ngumu kuhama,
 
kuna tofauti kubwa sana kati ya msukuma na mnyamwezi.

jiulize kwa nini wameng'ang'ania kuishi Unguja, licha ya manyanyaso yote wanayopata kuanzia kunyofolewa korodani enzi za utawala wa sultani, kugeuzwa vibarua wa kulima na kutunza mashamba ya waunguja, kuangua na kukuna nazi kwa ajili ya mamwinyi wa unguja, na sasa kuchomewa hata vichaka vyao wanamoishi na kulala?

wanyamwezi shida na taabu za dunia ni baraka.
 
Imetosha, CCM haisikii anaijua vizuri, Na ajizeekee tu vizuri huko huko CCM! Chadema tunataka nguvu mpya, no magamba contamination!
 
Sitta ni fisadi anayejua kuwa CDM si mahala pake ndiyo maana alipotaka kutoka ccm alianzisha ccj.
 
Back
Top Bottom