Kwa nini sikukutana na wewe mwanzo?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,510
Je, imeshawahi kukutokea ukakutana na mtu (wa jinsia tofauti) mka click sana kiasi cha kuanza kujiuliza kwa nini hukukutana naye mwanzo kabla ya kuwa/ kukutana na mtu uliye naye sasa? Kama imewahi kukutokea hivyo, ulikabiliana vipi na hali hiyo?
 
Yamekukutaa nn bwana NN?
Manake ni juzi juzi tu hapa ulikuwa unatafuta date. Hahahahaaaaaaaa!!
 
Hii inaweza kumtokea yoyote kwani ukishaishi na mtu muda mrefu unapata kujua mapungufu yake na unapokutana na mwingine ambae kwa kipindi kifupi utakuwa unajua mazuri yake mengi kuliko mapungufu yake ni lazima utasema "ulikuwa wapi?"Ingawa nae ukikaa nae kwa muda unaweza kuhisi afadhali yule wa kwanza.Hapa ni kukubaliana na hali halisi hasa kama uko kwenye ndoa,lakini kama ni hit and run person utawabadilisha sana kwani kila mtu ana mapungufu yake.
 
Ha ha ha NN..umeanza ni binti Thumuni nini kakuchanganya...usiache mbachao kwa msaala upitao..
 
hiyo ipo ila baada ya muda utagundua kuwa bora wa zamani. Mapenzi ni kunzungumkuti
 
Pole NN Inatokea sana ila unatakiwa haraka sana ujirudi na kujitahidi kumsahau huyu mpya kabla hujaingia MAJARIBUNI.
 
Je, imeshawahi kukutokea ukakutana na mtu (wa jinsia tofauti) mka click sana kiasi cha kuanza kujiuliza kwa nini hukukutana naye mwanzo kabla ya kuwa/ kukutana na mtu uliye naye sasa? Kama imewahi kukutokea hivyo, ulikabiliana vipi na hali hiyo?

mi ndo nilikuwa nanogesha manjonjo na maneno motomoto tena ya kingredhaaaa....
 
Jiafrika mambo ya WHERE WERE YOU ALL THE DAYS OF MY LIFE waachie Mizungu - tuko OUT OF TIME!
 
Je, imeshawahi kukutokea ukakutana na mtu (wa jinsia tofauti) mka click sana kiasi cha kuanza kujiuliza kwa nini hukukutana naye mwanzo kabla ya kuwa/ kukutana na mtu uliye naye sasa? Kama imewahi kukutokea hivyo, ulikabiliana vipi na hali hiyo?

Komredi mm ilinikuta kitu hiyo,
Alafu mtoto akapoteza mawasiliano mpaka kesho nahaha kumtafuta alinionjesha kama miezi 3 nikanogewa kabisa na kuzimia naambiwa mara ya mwisho alikuwa Dom lakini mawasiliano ndo magumu tena sina namba zake na zangu alisha poteza ndugu yake ambae alikuwa anajua uhusiano wangu na huyo mtoto aliuawa na vibaka maeneo ya Viwandani Moro kwa hiyo nimepoteza kabisa kumbukumbu.
 
hahaha Binamu na wewe si uweke kwenye Bango
 
We acha huyu mtoto mpaka kesho naumia roho ananiumiza dah mawasiliano ndo hivyo sijui nae alisha kufa namkumbuka vizuri alikuwa na asili ya Kinyarwanda mtoto pua imechongoka umbo namba 8 dah we acha nilivyo kuwa nakatisha nae maeneo ya Saba saba kule kusagula watu shingo feni tu nilikuwa naenda nae maeneo ya Mazimbu kula mdudu wadau mate yanawatoka tu.
 
Yamekukutaa nn bwana NN?
Manake ni juzi juzi tu hapa ulikuwa unatafuta date. Hahahahaaaaaaaa!!
Halafu na ujumbe ameweka kabisa kwenye signature

You can say I'm trippin' but I'm stingy and I can't hide it
Wanna keep you all to me, I'm selfish, why try to fight it
You're the only one, with the only love that's strong enough to claim me
So please forgive me, I'm just stingy but how can you blame me
............................Kaazi kweli kweli

Kaka angalia isije ikawa ni ile the highest level of infatuation....... maana mara!!?
 
Je, imeshawahi kukutokea ukakutana na mtu (wa jinsia tofauti) mka click sana kiasi cha kuanza kujiuliza kwa nini hukukutana naye mwanzo kabla ya kuwa/ kukutana na mtu uliye naye sasa? Kama imewahi kukutokea hivyo, ulikabiliana vipi na hali hiyo?

Hii ni kawaida sana, wakati mwingine inaitwa missed opportunities!.
Watu huingia kwenye long time commitment for varois reasons, beauty, security, companionship, or just for convenience, prestige, etc etc,.
Mahusiano mengi ya love yako based on tamaa na infatuation za physical love na emotional. True love is spiritual love, ambayo ni mara chache hufikiwa.

Sasa inapotokea mahusiano yako ndiyo hayo mengine na mkaingia kwenye serious commitment, then spiritual love ikaibukia pembeni, lazima utajilaumu alikuwa wapi huyu!.

Watu wengi hujikuta wameoa/olewa na fulani, ila baadae ndipo wakajistukia kumbe anayempenda kweli ni mwingine. Hapo ndipo dini ya Kikristo inapopenyeza rupia yake kuwa Huo ni Msalaba wako, unatakiwa kujikana nafsi yako na raha zako, na kuubeba msalaba wako mpaka pale mmoja wenu atakapoitwa!.
 
We acha huyu mtoto mpaka kesho naumia roho ananiumiza dah mawasiliano ndo hivyo sijui nae alisha kufa namkumbuka vizuri alikuwa na asili ya Kinyarwanda mtoto pua imechongoka umbo namba 8 dah we acha nilivyo kuwa nakatisha nae maeneo ya Saba saba kule kusagula watu shingo feni tu nilikuwa naenda nae maeneo ya Mazimbu kula mdudu wadau mate yanawatoka tu.

Na wewe sasa ina maana ulimpenda kwao hupajui humjui dada wala mdogo wake wala rafiki
he !
 
Ndugu yake nilikuwa namfahamu ndo huyo nasema aliuawa na vibaka maeneo ya Viwandani Moro na alikuwa amepanga maeneo hayo ndo hivyo tena kumbukumbu zote zimesha futika na kupotea.
 
Back
Top Bottom