Kwa nini siku hizi wanawake wanapenda kuwa single??

simply bcoz wanaume wanaboa saaaaaaaaaaaaaaana ol da tyme WENGI WAO na kuna wachache ambao ni km malaika vile wanavyojua kutreat mwanamke!
ukisema utulie nayeye na umuendo km yeye mfalme stl atakuboa tu atajifanya asense kitu na kukulipa mabaya so da solution iliyopo ni part tyme game o waume za watu ambao automatically ni part tyme n short tym as it is
lakin awa mabofrend wetu awa wamtumba kwa kuboa magalfrend weeeeeeeeeeeee hawafai.......!!!!!!!!!!!!1
kuish single smtmes z wealth snce its stress free compare to mastress ambayo binadamu mwenzako makusudikally anakuletea bila huruma ili tu roho ikuume!!!!!

thou mungu apend cz kasema muijaze dunia so kuolewa ni muhimu bt mmh.........wanaume makorokocho!!!!!!!!!!!

me nadhani wanawake ndio wamekuwa mcharuko sana....sijui ndio u-aggressiveness au nini?? ila ninachojua ni kwamba wanawake wamekuwa too material n cheatin is no longer considered unethical...so nadhani watu wengi wanona bora kuwa na casual thing coz ukiwa serious na hiki kizazi mcharuko utaumia bureee.....ila deepdown in our hearts as human...we all wanna something good....kama good relationship....fyi ukienda kenya utasema wadada wabongo wakovery humble na atleast wanaki-luv mcharuko...kenya ni bad nus no money no honey straight away......ila siku zote...kila ki2 kina explanation.....hakuna msichana mzuri alietulia mabae atakosa good relatioship...ukiona hivyo ujue smhw ni mcharuko.....wanawaka na vi2 vya kawaida sana kama vijigari vya japan hawajali hata kama umeazima.....sio wote anyway ila wengi wao wa generation y.....
 
Wapo kikazi zaidi baada ya kukosa nyama ya ulimi. F1 anajua hili. Pia somo la feminism limewaingia sana. Wengi walio singo ni wadada wasomi. Pia wana msemo unasema raha jipe mwenyewe usingoje kupewa. Sasa wanajipa hadi ile raha wanayopaswa kupewa kwa kutumia matango na maji ya vuguvugu.

Hahaha! Duh matango...
 
mbona kwenye hizi tamthilia wengi wao wanakuwa na wapenzi wao wanaowapenda kwa dhati, wanapitia majaribu ya kila aina stili wanaendelea kuwapenda na mwisho wa tamthilia wanakuwa pamoja! nahisi ndo zingekuwa msingi mzuri wa kuwafundisha jinsi ya kupenda kwa dhati!

Sawa! Lkn kwanini wanawake mnataka kuwa single? Au kujiamini ni kudogo? Au mapungufu ni mengi ya kusimamisha ndoa?
 
AHhaaa-hii to topi c safi sana, wanaoishi peke yao kwa ufupi wamekata tamaa ya maisha c unajua tena!! Na waliowengi wameumizwa saana na wakaamua kuchukua part tym
 
Kule Kenya napo nasikia siku hizi kuna Open Relatioship teteteteh sijui na TZ ipo
Hii mnaweza kuwa mna mahusiano ya kimapenzi lakini sio permanent ,
hivyo basi boys or gals hata ukimkuta na mtu mwingine no kelele wala vulumai ,haya maisha sijui yanaelekea wapi
 
Sawa! Lkn kwanini wanawake mnataka kuwa single? Au kujiamini ni kudogo? Au mapungufu ni mengi ya kusimamisha ndoa?

sio kwamba tunapenda, inatulazimu tu mambo yamekuwa mengi sana ya kukatisha tamaa kwenye mahusiano ya mapenzi
 
Single life is boring and exhausting... well may be because i am not a feminist

Women who are trying very hard to be equal to men are the ones who find difficult to keep men in their life....
 
Single life is boring and exhausting... well may be because i am not a feminist

Women who are trying very hard to be equal to men are the ones who find difficult to keep men in their life....

hili nalo neno
 
am tired of heart breaks.........kwanza hamna tena kipande cha kuvunja kilichobaki kwenye huu moyo wangu....better this way!!
 
am tired of heart breaks.........kwanza hamna tena kipande cha kuvunja kilichobaki kwenye huu moyo wangu....better this way!!

heee vyote vimeisha?..hapana hebu viunge unge uanze 1....wachana na past dearest.
 
heee vyote vimeisha?..hapana hebu viunge unge uanze 1....wachana na past dearest.

dearest sijui itachukua muda gani kuviunga maana kwanza its almost impossible..........kuachana kwangu na past ndo huko sasa kumenifanya nijisikie better the way I am now!!! saa nyingine unaweza bure ukamkosea Muumba wako kwa kujiona una nuksi!!!
 
hapana ucdhubutu! hakuna mwenye nukc kabisa, sema karata zao ulizicheza ndivyo kumbe ukakuta cvyo, nyanyuka songa mbele, sahau yaliyopita na yupo mahali anakusubiri kuviunga hivyo vipande, na itakapofika hautajutia daima....upe nafac moyo wako...napendaga kutoa eg yangu mie mwenyewe, jinc" nilivyoachwa"...nilisema mie tena bac, lakini nilijipa nafac ya kusaha/kusamehe yote yaliyopita nikasonga mbele na nipo mpaka sasa.
 
dearest anyway nimeelewa ulichoandika........check ur jf chat ili nisijaze nzi hapa!!
 
hapana ucdhubutu! hakuna mwenye nukc kabisa, sema karata zao ulizicheza ndivyo kumbe ukakuta cvyo, nyanyuka songa mbele, sahau yaliyopita na yupo mahali anakusubiri kuviunga hivyo vipande, na itakapofika hautajutia daima....upe nafac moyo wako...napendaga kutoa eg yangu mie mwenyewe, jinc" nilivyoachwa"...nilisema mie tena bac, lakini nilijipa nafac ya kusaha/kusamehe yote yaliyopita nikasonga mbele na nipo mpaka sasa.

I love this!

Yule televangelist maarufu ana hotuba yake inaanza ...............Don't ever loose HOPE .............................:A S tongue:
 
hili nalo neno
hilo ndio neno langu...sema neno lako, we unaonaje? kukaa single all your life is better than having a partner? au kama wanaume walikkuumiza previously ndio ushaamua kama wanaume wote ndio sawa? let me tell you something there are two types of men
type no 1. BAD MEN
type no 2. GOOD MEN...
may be u r choosing wrong men kama wewe ulipata bahati kupata type no 1 this time jaribu ku-choose type no 2.... but u have to choose carefully...
 
Kila mtu huwa anaona mambo yanayomzunguka. Kama wanawake wengi unaokutana nao ni wa aina hiyo, ukweli ni kwamba you are a type of a guy who attracts those kind of women. To another type of a guy, things would be totally different.

So, it's not the fact, but you.

Mimi kwangu ni kinyume, wanawake naokutana nao wote wanataka everlasting relationship, and they have never been after money, even for once. But this is not the fact, it's me!

Wanasema, ukivaa miwani ya blue, basi kila kitu kinaonekana cha blue, but it's not the fact, ni miwani.

Mkuu you have tried to be very philosophical, but that does not change the fact that our soiciety has rotten, if not then it is almost there. Ukiangalia utaona kuwa jamii yetu inaundwa na makabila zaidi ya 120 yenye mila na tamaduni tofauti. Kuna wanawake kutka makabila mengine kuwa na polyandrious tendencies ni jambo la kawaida kabisa na linakubaliwa na jamii yake.....na kibaya zaidi wengine wanaiga na kuona ni normal and acceptable way of life, kuna makabila mengine mwanaume usipokuwa na mtoto bastard unaonekana sio kidume, na ukiwa faithful na committed kwa mkeo au demu wako unaonekana umepitwa na wakati. Huku kwetu pwani hii ndio hali halisi.

Hapa hakuna wa kumlamu, si mwanamke wala si mwanaume, ni jamii yetu watanzania. mchanganyiko wa makabila na tamaduni umefanya jamii yetu ioze, tumeshindwa kujifunza positive things kutoka makabila mengine isipokuwa tumeweza kujifunza negative things kutoka kwa makabila mengine.

Wanaokuwa wamechoka na ujinga unaoendelea kwenye jamii yetu wanaona bora kuwa single, kuliko kuwa bimbo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom