Kwa nini siku hizi wanawake wanapenda kuwa single??

kila mwanamke anapenda kuolewa, sema tunakutana kila siku na small boys wasiojua thamani ya mwanamke, ndo maana tunapenda kuwa single

alafu wanaume wengine bwana wa ajabu sana, uusipomwabia shida zako anaokuona unadharau, ukimwambia anahisi unataka kumchuma hivi mnataka nini lakini

Wanaume nao wanapenda KUOA ila mhhh... wakishaoa wanataka kuendelea kuishi singo!!
Ataishi singo hata mkiwa mnaishi kama mke na mume... utaona anasarandia ndugu wa mke, ma housegirls... mradi kero tupu.

Wanawake wa siku hizi wamashachoka kurushwa roho.
 
kila mwanamke anapenda kuolewa, sema tunakutana kila siku na small boys wasiojua thamani ya mwanamke, ndo maana tunapenda kuwa single

alafu wanaume wengine bwana wa ajabu sana, uusipomwabia shida zako anaokuona unadharau, ukimwambia anahisi unataka kumchuma hivi mnataka nini lakini
Tunataka infidelity at lower cost! Vinginevyo ndio kama alivyosema nyamayao hapa chini

na mwingine ukimwambia ndio umemkimbiza...kazi kweli.

kumbe huchuniki? how much do you pay for infidelity?
I only pay for the room and bed! The rest we must share......(aftaroo wote si tunainjoi, tena wanawake wanainjoi zaidi ndio maana wanapiga makelele):fish2:

Charity are u there mamito!:roll::roll:
She is out.... pole mama!
 
yaani mnashare?...hao wadada kazi wanayo!..sasa ana gain nini kwako?
 
acha nishangae nawe!! hao wanawake anaokutana nao inaelekea wanatatizo fulani hv may be psychological prob, they just need a man at that moment no matter if he is maaried.

lakini asprin we ni muongo by paying for the room, je ungekua nyumbani ungelipia kwa mama matesha?
 
Unaulizia maiti mochware? (Hayo makelele ya utamu wanayoyapiga si ndio maraha yenyewe?) Wanagain mautamu dada! Wakikamata mautamu ya ukweli wanajikuta wenyewe wanachangia gharama za infidelity actions:fish2:

Mama Matesha anapata huduma for free kwakuwa yeye nilishamnunua thru mahari....
 
bwana katudanganya, wanawake wa sasa hivi akimshika mume wa watu anagandana nae haswaa...kama hatatoka na ka forrester bac kacmamishiwa kakibanda au japo kakiwanja, hao wa Chriss cjui anawaokotea wapi....
 
thats what we call professional infidelity?
 
siku hizi ni panadol au asprin cjui.
hawa wa asprin ni wa kufikirika anajifariji hapa, maana leo wallet haitoshi kumpitia dasophy!
 
jina lake la sasa baya kama nini, cjui kwanni kabadili! hawapo kabisa, lazima anakamuliwa kwa namna moja au nyingine, kimada gani ataangalia utamu wakati yupo kimaslahi zaidi....
 
hilko jina si ndio kakuambia anagawa dose
hapo sasa, haingii akilini anaenda kuhangaika na mume wa mtu bure! lazima kuna maslahi anafuatilia then anajidai just tunapendana! uongo mtupu!
 
wanawake wanapenda kuwa single?! kuna ulowaambia uwaoe wakakataa?!
 
hilko jina si ndio kakuambia anagawa dose
hapo sasa, haingii akilini anaenda kuhangaika na mume wa mtu bure! lazima kuna maslahi anafuatilia then anajidai just tunapendana! uongo mtupu!

haa wapi, anaempenda kamwacha home, na huko anafanya faster faster amuwahi...
 
yani nyamayao ningekua na uwezo wa kuilewa akili ya hawa ndugu zetu wanaume ningefurahi sana. inakuwaje wanaweza kumlaghai mtu nje na mkewe nakupenda nae anakubali? tena waweza kuta mtu zaidi ya mmoja na akirudi home anakudanganya anakupenda
 
bwana katudanganya, wanawake wa sasa hivi akimshika mume wa watu anagandana nae haswaa...kama hatatoka na ka forrester bac kacmamishiwa kakibanda au japo kakiwanja, hao wa Chriss cjui anawaokotea wapi....
This is name calling. Ngoja nicheki na invizibo!
 
siku hizi ni panadol au asprin cjui.
hawa wa asprin ni wa kufikirika anajifariji hapa, maana leo wallet haitoshi kumpitia dasophy!
Another name calling? where is justice?
 
bwana katudanganya, wanawake wa sasa hivi akimshika mume wa watu anagandana nae haswaa...kama hatatoka na ka forrester bac kacmamishiwa kakibanda au japo kakiwanja, hao wa Chriss cjui anawaokotea wapi....
Sisi wataalam wa infidelity huwa haturudii vibinti. Ukisha hit una run.. Thats the first law of traditional infidelity. Hiyo forester ataikamatia wapi?

thats what we call professional infidelity?
You can say that again.

siku hizi ni panadol au asprin cjui.
hawa wa asprin ni wa kufikirika anajifariji hapa, maana leo wallet haitoshi kumpitia dasophy!
Nakwambia hawa kina dasophy huwa wanachangia gharama kama unawapa huduma stahili. Najua mtabisha lakini ndiyo hali halisi.

haa wapi, anaempenda kamwacha home, na huko anafanya faster faster amuwahi...
You see? Huo ndio ukweli wenyewe. Huko nje tunaenda kufanya mazoezi. Mechi za mchangani muhimu sana kwa ajili ya kukuza ndoa...

yani nyamayao ningekua na uwezo wa kuilewa akili ya hawa ndugu zetu wanaume ningefurahi sana. inakuwaje wanaweza kumlaghai mtu nje na mkewe nakupenda nae anakubali? tena waweza kuta mtu zaidi ya mmoja na akirudi home anakudanganya anakupenda
Akili ya kuambiwa..... mix with yours!!

Tumezaliwa kwa kazi hiyo... Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja ila mwanaume kwa hakika ameumbwa kwa ajili ya mwanamke zaidi ya mmoja. Mkiuelewa ukweli huu wala hamtapata shida.....HAMTAPATA TABU KWA KWELI........
 
yani nyamayao ningekua na uwezo wa kuilewa akili ya hawa ndugu zetu wanaume ningefurahi sana. inakuwaje wanaweza kumlaghai mtu nje na mkewe nakupenda nae anakubali? tena waweza kuta mtu zaidi ya mmoja na akirudi home anakudanganya anakupenda

unatafuta kufa na presha?...tuishi nao tu hivyo hivyo...lakini hapo wa home ndio anapendwa, hao wanaodanganywa nimeoa lakini nakupenda wanatakiwa waamke sasa....
 
Waamke wao hawataki kufaidi? Acha kudanganya wenzio wewe...
 
unatafuta kufa na presha?...tuishi nao tu hivyo hivyo...lakini hapo wa home ndio anapendwa, hao wanaodanganywa nimeoa lakini nakupenda wanatakiwa waamke sasa....

nilipata pressure nilipokua bado mdogo nilijitia kiherehere cha kutaka kmjua mwizi wangu, ci niliipata yani alikua dasophy hasa, maneno kama radio. sasa hivi nimekua mzoefu si babaiki tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom