Kwa nini sifanikiwi katika harakati zangu za kutafuta kazi?

Swali la msingi la kujiuliza, Je kazi zipo? Kama zinatangazwa nafasi tatu na wanaomba watu 2000 nini maana yake?
Wanaosema umuombe Mungu wanataka nani akose?
 
Nimehitimu chuo na nimesoma bachelor of science in WILDLIFE MANAGEMENT.
Nimekua nikisaka job kwa nguvu zote bila mafanikio ila kadri siku zinavyokwenda ndio ninakua na nguvu zaidi za kusaka kazi, sasa wadau naombeni ushauri au support yeyote sababu hali ni tete.
Wanaojua NGO's zinazo deal na conservation please let me know... Nipo pande hizi za arusha


pole kaka, ila usikate tamaa na ni vizuri ukatafuta kazi nyingine ya kuendelea kukuweka mjini. unaweza tafuta shule ya kufundisha masomo ya sayansi au ukafungua tuition centre sana sana kwa advance itakulipa vizuri kama uko nondo.kama ni ngumu kufungua tuition center nenda kwa wajamaa wenye center zao ujieleze watakupa job ili angalau uwe na kipato cha kuendelea kufukuzia job and usikae idle. wishing you all the best bro
 
Siku zote Mungu huwa anaanza pale ambapo uwezo wa mwanadamu umefika mwisho.Sijajua ni mda gani tegemea muujiza wako.
 
kuchanganya "r" and "l";hili nalo ni janga.tatizo ni waalim waliowafunza.!
meanwhile:
chukua idea ya Chakochangu.fikiri nje ya box.Utakuwa mwajiri badala ya kuajiriwa.
usikate tamaa kamwe,utashinda
 
Kaza buti usikate tamaa coz maisha ya sasa yataka moyo, na pia maofisi mengi yamejazana ndugu wa family so 2mia akili ya kusoma uchanganye na ya kidunia utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom