Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KWA NINI SERIKALI INAONA UGUMU KUUNDA TUME HURU KUCHUNGUZA UTAKAJI WA Dr.Ulimboka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by owawajr, Jul 13, 2012.

 1. owawajr

  owawajr Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wana JF kwa naomba kujua kwa nini serikali inaona ugumu kuunda tume huru kuchunguza kutekwa ,kuteswa na kutupwa kwa Dr.Steven Ulimboka? Na pale ambapo serikali imekataa kuunda tume huru ni njia ipi mwafaka tunaweza kutumia kupata majibu ya kina kuhusu tukio zima.

  Nini kifanyike?
   
 2. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,750
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Kuunda TUME HURU is like shooting themselves on their own feet. That will never happen.

  Nini kifanyike? Kama tuliweza kuchangishana na kumpeleka Dr. Ulimboka nje kutibiwa, basi chini ya usimamizi wa MAT tuchangishane pesa tuwaite SCOTLAND YARD waje wafanye uchunguzi parralel na huo wa Kova na Msangi wake ile mbivu na mbichi zijulikane.
   
 3. mwangalizi

  mwangalizi JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Kwani huelewi nini hapa mkuu?!!!!!

  Cha kufanya ni kukaa kimya!
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 5,767
  Likes Received: 294
  Trophy Points: 180
  Mkuu serikali inajua ilichokifanya.. tusitegemee waunde tume huru
   
 5. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,596
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 160
  You said it all mkuu, hiyo ndo Sababu
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,037
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hamna haja ya tume nyingine hiyo iliyokuwepo inawataalam wa kutosha wa mambo ya usalama wa raia.

  Hata rais akiunda tume mpya akimuweka Tundu Lissu bado mtalalamika nyie mavuvuzela.

  Itakuwa yale yale kama Prof Baregu kwenye tume ya maoni ya katiba. Nashangaa Baregu alikubali uteuzi wakati Chadema inapingana na hiyo tume si mngemwambia tu mzee ajitoe halafu muone kama tume itasitisha shughuli zake.
   
Loading...