Kwa nini serikali imeshindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi hadi leo 2/11/2011

Rais Kikwete akiwahutubia wazee wa Dar alikataa kura za watumishi wa serikali wapatao 350,000 kwa maneno, sasa ameaanza na VITENDO mishahara hakuna kulipwa hadi watie akili, POLENI SANA WATUMISHI
 
polisi baadhi nasikia hadi leo hawajapata mishahara.waliopata ni wale wanaopokelea mezani ambao bado hawajatengenezewa utaratibu wa kuchukulia bank.vilevile wapo baadhi waliopokea kupitia bank lakini hela imepungua si kama walivyozoea kupokea.wakikatwa kwa wale wenye mikopo bank ikikata deni unaweza usirudi na kitu nyumbani.ni hatari sana.mwaka huu mabomu ya machozi yatagoma kulipuka.

Jamani mimi naomba bank zisiwakate fedha nyingi kwani ni hatari mno barabarani tutapita wapi? kwani rushwa itakuwa nje nje ili kufidia hilo deni
 
Back
Top Bottom