Nimesoma gazeti la 'gurdian on Sunday' kwenye habari yenye kichwa: Inside Dowans' Verdict: Tales Mafia style, abuse of power ... Najiuliza kama kuna hiki kipande;
nanukuu gazeti verbatim:
nanukuu gazeti verbatim:
Why Rex wakauma 'maneno' katika hili? in reality, hawa wapo kwa maslahi ya nani? Je, kuna haja ya kuwa na wizara ya sheria? au kuwa na mwanasheria mkuu kama tunaajili watu kwa mambo ya voda fasta? au kila kitu kinaenda na mambo ya kuwa na ma-agents?The Judgement exposes the failure by the defense lawyersto make corruption one of teh key issuesduring their submission, paving the way for ICC to award $65 million compensationto Dowans Tanzania Limited, despite the damning revelatins about how the process was marred by massive irregularities. end of quote.