Kwa nini raisi wetu hatembelewi?

Chakunyuma

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
810
152
Shibuda na Shilungushela wapo. Mkutano umeanza muda kidogo.
Watu ni wengi pia samahani kwa kuwa title lilikuwa tufauti na maelezo lakini nimerekebisha.
 
Shibuda anasema CDM ni mbadala wa ccm na dawa ya mafisadi. Kaongea mengi siwezi kuandika yote lakini nitajitahidi.
 
Title naona halitaki kubadilika ila ninatakiwa kusomeka hivi: kuna mkutano wa chadema stendi mpya Shinyanga.
Ila nipoona halibadiliki nimeanzisha thread nyingine yenye kichwa sahihi. Samahani kwa usumbufu.
 
Back
Top Bottom