Kwa nini raisi wangu unanitesa kiasi hiki?

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Raisi wangu kwa nin unanipa msongo wa mawazo kiasi hiki? Kila kukicha matatizo yanazid,hutaki kutafuta ufumbuz mathalan MGOMO WA MADAKTARI,RUSHWA, AJIRA,na mambo mengne mengi yanayotia kichefuchefu kama hayo.Kwa uozo wote huo mimi kama mzalendo wa nchi hii huoni kama utaniua kwa pressure jaman??
Naomba kuwasilisha.
 
Inasababishwa na udhaifu ccm imeshashindwa kuongoza hii nchi maji yamefika shingoni wamekula nchi imebaki mifupa ndo maana unaona hata pesa za kuwalipa madaktari hakuna na walimu nao wanajiandaa kugoma cjui itakuwaje usalama wa taifa wanamshauri vibaya ubabe umezidi
 
Kama madai tu ya walimu yameshdikana kweli madaktari mtapata mnachokihitaji?? Mimi wamelisomesha kwa mbinde tena kwa migomo mingi na cost sharing ila wameshndwa kunipa ajira SASA NIPO KWENYE BUS NAELEKEA MOROGORO KULIMA MATIKITI MAJI(WATER MELONE)
 
Back
Top Bottom