Kwa nini rahisi kuhesabu makosa kwenye uhusiano

This is just a mentality, we are expected (kupita kiasi) kufanya mazuri. Imetukaa vichwani. Tunasahau kuwa kuna ubinadamu, kwamba you must keep a room for makosa... accomodating makosa ya kibinadamu, sisi sio wakamilifu!

Kwa mtaji huo ukifanya makosa.....
 
Nadhani ni rahis kuhesabu makosa ya
mwenzako kwa kujihami au kwa
kutokubali kujipa lawama! watu
huesabu makosa ya wenzao
kuwafanya wawe upande salama pindi wafanyapo maamuzi,
kuwafanya wenza wao wajione
wakosefu machoni mwao na mbele
yawatu. Ktk mapenz unaposamehe
kosa, sameheni jumla!
 
Safety last;2149786]nakubaliana na ww huwa tunawakamilisha watu ktk uhusiano!sasa baya moja linafuta yote yanini kufanya mazuri mengi huku ukijua kosa moja litaharibu kila kitu.. Kweli ubatili upo mwingi tu.

Ni tabia ya mwanadamu kuwa tunapenda mambo mazuri, mabaya hatuyataki. Ndiyo maana ukikosea mwenzi wako anakasirika ila ukifanya jema anafurahi au kuona ni kawaida anadeserve kutendewa yaliyo mema. Level ya chuki au kukasilika nayo ni tofauti kutokana na ukubwa wa kosa, Mengine kama Infidelity kupata msamaha ni kwa mbinde sana hatari ya kuachana ni kubwa zaidi. Hata kama ulikuwa unatenda mema siku zote, kuiba/kutoka nje ya mahusiano yako linafuta kumbukumbu ya mambo mema mlofanya mkiwa pamoja na mkafurahi. Kama ni kosa dogo tu mnaombana msamaha yanaisha. Sidhani kama ni ubatili kwa mwenzako kukasilika na kusahau mazuri ya nyuma, bali ndiyo huruka ya mwanadamu kutopenda kukasilishwa. Binadamu tunapenda mambo mazuri yanayotupa furaha siyo shida. Hatupendi kuumiza mioyo bali kuipa raha.
 
Back
Top Bottom