Amanikwenu
Senior Member
- Dec 1, 2009
- 187
- 0
Hamtakiwi kuishangaa sana CCCCCCMMMMMMM--Huyu Jamaa Miaka ya Tisini Mwanzoni walishawahi kumwamisha kwenda Ubalozini Italy. Bahati nzuri alikataa.
D they care? watoto wao wanasoma ulaya kwa pesa za kifisadi na scholarship za nchi, so life goes on. But this is the highest level of stupidity in the name of politics.
Yani siku yangu imeharibika kabisa niliposoma hii.. yani kunakipindi nikifikiria ujinga wa ajabu kama huukweli wazo la GUN linanijia kabisa.. hawawatu kweli wanamwisho mbaya sana...kwa mwendo huu.......
soma alama za nyakati mkuu hakuna anaetaka kufika huko lkn naona jamaa wanalazimisha sasaMh Great Thinker, tuombe Mungu tusifike huko, ni hatari!
It is a great shame that The University of Dar es Salaalam Act, which when I served on the Council gave full mandate to the University Senate to appoint and promote academic staff seems to have been thrown overboard.
If it still provides for the Senate to have powers of appoinment and promotion, why don't UDASSA challenge this interference in the High Court? A ruling by the High Court to restore such powers will be in the long-term interest of higher education in our beloved country.
In the meantime, pole sana Profesa Baregu. Nina hakika this meddling by Government in UDSM will re-inforce you to speak your mind against a decadent national leadership.
Yani siku yangu imeharibika kabisa niliposoma hii.. yani kunakipindi nikifikiria ujinga wa ajabu kama huukweli wazo la GUN linanijia kabisa.. hawawatu kweli wanamwisho mbaya sana...kwa mwendo huu.......
I think in next election everybody should play her/his part. We must unite and throw out this old stinking ccm party. We are sick of its mafisadi, nepotism and other foul scandals which brought shame to our country. Bye bye ccm in 2010, enough is enough !We will not bear to see you (leadres)stealing and using our national wealth for your greedy uses!
Ni kweli nchi ina uovu mwingi na inaboa kwelikweli. Kila mahali wanaendekeza uenzetu hata kama ni kwa kuua watanzania kadhaa ili kulinda nafasi zao. But to my opinion, ni dhambi kubwa sana kufikiria tuingie kwenye hatua ya bunduki.
Mwaka 2007 tumeona machafuko ya Kenya, waliosababisha ni Kibaki na Odinga. Je ni nani aliyekufa? Bila shaka kila mmoja ana jibu kama langu kwamba waliokufa ni raia wasiokuwa na hatia, na kumbukumbu yao duniani ishapotea. Wewe ukishika bunduki unafikiri atakufa nani? Kikwete? Take care! tuiombee amani nchi yetu. Tupambane kidiplomasia.
Ukiikataa CCM utachagua chama gani? Maana binafsi sioni chama cha upinzani ambacho kipo serious na committed kwa maendeleo ya nchi. Wote ni walewale tu, lao moja na CCM. A bit CUF na NCCR wanaweza kuwa serious, wengine hawa blabla tu. Wapenzi wa CHADEMA, I am sorry! Its not yet a Party to rule this country.
Washauri woooooooooooteeeeeeeee inawezekana wana vyeti feki......... Maana ile siku alipokuwa anatamka zile asilimia zake 70, 15 na 15.... nilimshangaa sana........... Utafikiri kijiweni vile.......walaaniwe mara ngapi aiseee.... waangalie braza wao wa-kubembea anavyojichora cku hizi...kila cku anatema dusty akijitahidi sana basi shudu kama sio vumbi...utafikiri hana washauri...!!!
Dua la kuku halimpati mwewe
Suala la kubadilika halipo. Usanii umezidi.