Mawenzi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,251
- 344
Hapa jamvini pana wajuzi wa IT wengi sana, wakiwemo ma-mods. Kwa nini imeshindikana posts kuwa arranged serially kwa kufuata tarehe za ku-post? Yaani most recent ziwe mwanzo. Kwa sasa utakuta most recent iko mwisho au katikati, ya zamani ipo mwanzoni. Kwa mtindo wa sasa searching of posts inakuwa ngumu sana.
Nawakilisha
Nawakilisha