Kwa nini Pinda ni kipenzi kwa Kikwete kuliko Dr Shein

GT,
Ukiachana na mtazamo wa mwanahalisi ambao unaongelea zaidi matukio mbalimbali ya kitaifa waliyoyachukulia kama ndo kigezo cha kusema kuwa Pinda ni kipenzi cha Kikwete, wewe una mtazamo gani?
 
Nafasi yake kama waziri mkuu ndiyo sababu ya kuwa karibu na Raisi. Yeye ndiye mkuu wa shughuli za serikali, hivyo kuwa karibu na mkuu wa nchi ni jambo la kawaida. Na hiyo ipo toka enzi na enzi.
 
Ni kawaida sana na lazima iwe hivyo maana alimchagua mwenyewe hakuchaguliwa na chama kuwa mwenza kama makamu ilivyo....lazima awe karibu nae zaidi hata kwa utendaji na majukumu ya kila siku.....utendaji na utawala....
 
Pengine Dr Sheni hakumchagua yeye bali alichaguliwa na wana mtandao wake..! Lakini isiwe tabu mwacheni mzee wa Mikasi
 
Ni kawaida sana na lazima iwe hivyo maana alimchagua mwenyewe hakuchaguliwa na chama kuwa mwenza kama makamu ilivyo....lazima awe karibu nae zaidi hata kwa utendaji na majukumu ya kila siku.....utendaji na utawala....

kikwete hajawahi kumpenda pinda [kirafiki/acha working relation] dr shein au pinda.....makamu wake wa rais chaguo lake alikuwa moamed seif khatib...waziri mkuu choice alikuwa lowasa.....

hawa wote shein alilazimishwa kuwa naye kwa kuwa system haikuamini kumkabidhi jk nchi bila kumpa msaidizi mwenye uwezo wa kumshauri madhubiti[shein ni mzuri kwenye vikao vya ndani].......pinda aliambiwa amuweke akawadanganya wazee kuwa amekubali kumpa uwaziri mkuu....baadaye jina bungeni akapeleka la lowassa ..na tangu hapo wazee wa kazi wakawa na kazi moja tu ya kumuonesha jk kuwa nchi ina watu wanaofanya iitwa nchi....lowassa akadondoshwa ...na ikabidi kikwete akubaliane na matakwa ya system kumuweka PINDA ...
 
Ni kipenzi cha kikwete because "Birds of the same feather flies together". Anayoweza kuongea na kutetea na kubadilika badilika Mzee wetu Dr Shei hawezi maana hataki kuiharibu dhamira yake! That is it!
 
kikwete hajawahi kumpenda pinda [kirafiki/acha working relation] dr shein au pinda.....makamu wake wa rais chaguo lake alikuwa moamed seif khatib...waziri mkuu choice alikuwa lowasa.....

hawa wote shein alilazimishwa kuwa naye kwa kuwa system haikuamini kumkabidhi jk nchi bila kumpa msaidizi mwenye uwezo wa kumshauri madhubiti[shein ni mzuri kwenye vikao vya ndani].......pinda aliambiwa amuweke akawadanganya wazee kuwa amekubali kumpa uwaziri mkuu....baadaye jina bungeni akapeleka la lowassa ..na tangu hapo wazee wa kazi wakawa na kazi moja tu ya kumuonesha jk kuwa nchi ina watu wanaofanya iitwa nchi....lowassa akadondoshwa ...na ikabidi kikwete akubaliane na matakwa ya system kumuweka PINDA ...

Acha Majungu yako...!!! Kujifanya Unajua System!!!
 
Soma Al-Huda la wiki hii, makala yenye heading "Rais Kikwete Pinda sasa watofautiana".
 
- Pinda simply ni muoga, anaogopa kina Rostam, Lowassa, Mstaafu wa idara, Gen. Mboma, Mkapa, Nchimbi na Karamagi, yes! ninasema anawaogopa. Kwenye kiako kimoja cha Cabinet Nchimbi alimuambia Pinda mbele ya rais kwamba hamtambui kama pm, yeye bado anamtambua Lowassa sasa Pinda angekua na ubavu angemlilia Nchimbi kwa rais mpaka atemwe, lakini wapi!

- Maneno yako Mkulu PM ni 100% truth, Mkapa alimlazimisha Muungwana kumkubali Shein kwa ushauri wa Mwinyi na Salimn, badala ya chaguo lake yaani Mama Meghji, Khatibu na Shamuhuna.

- Kwamba Muungwana na Pinda wako karibu no way, in private Pinda analia kama sisi hapa JF, lakini in the public anaimba wimbo wao mafisadi, ni kweli Pinda lilikuwa chaguo la wazee wa CCM kuwa PM, muungwana akaweka mguu chini kuwa ni Lowassa tu, alipopaka ndio akakubali kurudia chaguo la wazee.

- Shein kwa wanaomjua kwa karibu ni mtu mzembe mzembe asiyependa shuruba za kisiasa, infact wazee wa CCM walipomtaka achukue fomu ya urais 2005, aliishangaza CCM nzima kwa kudai kwamba hawezi kuwadanganya wananchi kwa kuwahutubia one thing kuwa anapinga ufisadi, huku viongozi wanafanya ufisadi bila kuguswa na yeye ni nani hasa wa kuwakaripia viongoZi waliozoea wizi toka tupate uhuru.

Respect.

FMEs!
 
-

NAAM!naona alifanya vyema
 
Lakini mimi ninaamini kuwa JK anampenda zaidi Shein kuliko Pinda. Pinda anaonekana kama kipenzi kwa sababu ni trouble shooter tu, lakini katika uendeshaji wa nchi, shein is doing much than Pinda, na Kikwete anafurahishwa na hilo
 
Mauchaguzi haya mengi yatajiytokeza .Wacha tuangalie.Pinda anaogopa nini hasa ?Inasemekana hata Mkuu wa Wilaya Nzega kufanya ushenzi huu pamoja na agizo la Pinda ni kwamba yeye anamtambua JK pekee na since JKkatulia ina maana anafanya ya ulinzi wa hisa zao na mkuu pale Nzega na Pinda kesha pinduliwa , kaanguka chali kabisa .
 
hahahahahah!at least A GOOD TRY,ACCORDING TO wewe
Mkuu umefurahi siyo!!!
Hujuwi huyu Pinda alivyofanya chakula kisinipite wiki sasa.
Kule visiwani wanasema akitia mguu wake watamzomea kama kikojozi.
 
Yaani waziri mkuu wa CCM azomewe na wana CCM au una maana gani? Siamini natamani atie mkuu .
 
Nani kadanganya, tena?
Toka lini yeye ni kipenzi wa Kikwete?
'We unaujua mtandao'?
 
Back
Top Bottom