Elections 2010 Kwa nini Picha za Mgombea Urais wa CHADEMA Dr.Slaa na wabunge hazionekani?

nilikuwa na safari ya vijijini wkiend hii, kwa kweli watu kibao hawamjui Dr. Slaa ingawa CCM hawaitaki...
 
Nimefurahishwa na umati wa watu waliokusanyika for Dr Slaa kule mwanza kama ilivyorushwa na TBC nyomi ya kufa mtu,alafu imagine hayo watu hawajaletwa na magari ya kukodi je wangekodi magari ingekuwaje?
 
Wangekodi magali hiyo ingekuwa ni rushwa tosha!! Watu walikwenda kwa kusukumwa na mioyo yao na imani kwa kile wakipendacho
 
Uchunguzi niliufanya wekend hii, kwa Dar es salaam, Picha zikiwekwa kuna watu wameahidiwa pesa, akibandua picha ya mgombea Chadema na kuipeleka ofisi za ccm anapata Tshs 2,000/= hadi 5,000/= kutegemeana how strong are u in urguments!
 
Back
Top Bottom