Kwa nini operesheni ya tumbo hufanywa chini ya kitovu?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,012
10,652
Kwa jinsi ninavyofahamu, madaktari humfanyia upasuaji wa tumbo mgonjwa kwa kupasua chini kitovu.Kwa nini huwa gawapasui sehemu zingine za tumbo?Wataala please......
 
uNA HAKIKA NA USEMACHO?? tUMBO LAWEZA KUCHANWA POPOTE KUTEGEMEANA NA TATIZO
 
Kwa jinsi ninavyofahamu, madaktari humfanyia upasuaji wa tumbo mgonjwa kwa kupasua chini kitovu.Kwa nini huwa gawapasui sehemu zingine za tumbo?Wataala please......
tafuta wataalamu wa maumbile(anatomy) watakufafanulia!
 
on addition laparascopic surgery! ... one of the tube huwa twaingiza through kwenye kitovu! ...

google Laparoscopic surgery for more info ..
 
Back
Top Bottom