Mzee Kibiongo
JF-Expert Member
- Jun 18, 2008
- 241
- 4
Tuepuke sana mambo ya ukabila yasije yakatufikisha walikofikia majirani zetu hivi karibuni. Watanzania tujitahidi sana kulinda umoja wetu na mshikamano, la sivyo tutakuja juta muda si mrefu.
Leo tutasema Wachagga, kesho siyo wachagga tena bali itakuwa Warombo vs. Wamarangu na hii haitaishia hapo, itafika Warombo wa Mkuu vs. Warombo wa Mamsera na kisha itakuwa kaya vs. kaya nk.
Kisha tutaishia kuwa kama Wasomali. KABURU NI KABURU TU HATA KAMA NI RANGI NYEUSI AU MTANZANIA.