Kwa nini ndoa za mabosi wengi wa kike zina migogoro na pia hazidumu?

JUMONG

Senior Member
Sep 16, 2011
107
59
Wanawake mabosi walio wengi wamekimbiwa na waume zao na kuwaachia kila kitu, na wengine hawajaolewa kabisa na kama wakiolewa basi wao wanakuwa wameoa, Ndoa zao nyingi zinakuwa na migogoro sana.

Hata wale ambao hawajaolewa baadhi ya wanaume wanawaogopa, Siyo wote kwani kuna wengine wanamudu kuzitunza ndoa zao kikamilifu.

Wadau nini tatizo?
 
Mmmh wanaume hawajiamini....ndo ukweli wenyewe. Mwanamke ukimzidi mume kipato basi ujue mahusiano yako hatarini......

Habari ndo hiyo...
Tatizo lenu hamkawii kujisahau... we kila mkikorofishana utasiki....
1. Mwanaume utakuwa wewe, nakulisha....
2. Mwanaume suruali... kazi kujaza choo tu..
3. Eti na mimi nimeolewa.... wakati kila kitu naleta mie...
4. Wakati mi nasoma we si ulikuwa unachunga ng'ombe, nawanunua uendelee kuwachunga hapa nyumbani..
5. etc etc...

Tatizo wanawake akili zao wametune kwamba men ni vitega uchumi kiasi kwamba pale inapotokea wanajiweza kidogo maana ya mume kwake inaondoka.
Just angalia wanaume wenye kipato kizuri wanakuwa na relation nzuri na wanawake kuliko asiye na kipato cha kueleweka.
Women are not fair always and ndo maana mimi mahusiano yangu na hawa viumbe wanaoitwa wanawake ni 50%.
 
Tatizo lenu hamkawii kujisahau... we kila mkikorofishana utasiki....
1. Mwanaume utakuwa wewe, nakulisha....
2. Mwanaume suruali... kazi kujaza choo tu..
3. Eti na mimi nimeolewa.... wakati kila kitu naleta mie...
4. Wakati mi nasoma we si ulikuwa unachunga ng'ombe, nawanunua uendelee kuwachunga hapa nyumbani..
5. etc etc...

Mbona majanga?
 
Tatizo hapo ni insecure hyper-ball minds walizonazo wenzetu,its a physiological thing...we men wouldn't understand!!!

toddle-minded!!!
 
1. Wanaume wengi (sio wote) hawana confidence mbele ya wanawake wenye mafanikio;

2. Wanawake wengi wakifanikiwa wanakuwa na kauli mbiu ya wao kutaka kuwa vichwa vya familia (kuwa final decision makers) kwa kigezo cha kwamba wanachangia zaidi ya wanaume;

3. Mungu alimwambia Adam kwamba atakula kwa jasho lake wakati Hawa aliambiawa kwamba atazaa kwa uchungu, so mwanaume ndiye mwenye jukumu la kumlisha mama. Ikitokea mama akawa na uwezo wa kujilisha na kumlisha baba zaidi ya baba awezavyo, baba anajiona si lolote kwa sababu ameshindwa kutekeleza agizo la Mungu; na

4. Jamii imekariri kuwa mara nyingi mwanamke anafanikiwa kwa kuwezeshwa na mwanaume, na baadhi ya fadhila za mwanamke kwa mwanaume aliyemsaidia kufanikiwa ni chupi, hivyo mafanikio ya mwanamke yanafikiriwa kichupi chupi zaidi ya jitihada binafsi.

Huo ni mtazamo wangu!!!
 
MASTERS HAITUNZI MUME!!!!!!!!!! credits to dasophy kwa haka kamsemo!

Tukirudi kilangalia hili I BLAME THE MEN!!!!!!!! YES! ITS MEN'S FAULT ENTIRELY!!!!!!!!

Ujue Mwanaume kabla hujaoa you should make it CLEAR and REFERENCED kuwa in your marriage there will be room for ONLY 1 MAN!!!!!! And that man is you! Despite anything!

Basi hata mkishaingiamo mwanamke anajua nafasi yake. And you claiming the Mans tittle iambatane na kuchukua MAN'S RESPONSIBILITIES (And by man's responsibilities i mean African Man)

How your wife treats you highly depends on how YOU LET HER TREAT YOU! Seriously!

If you want your independence GET IT!!!!! Usimpe mkeo mwanya Akukalie Kichwani!

1. Dont ask her abt her damn money! Labda ajisikie kutoa mwenyewe ila usifanye deni. Kuipangia ile hela ushampa mwanya wa kukukalia kichwani. Hapo umemuomba million 2 mpeleke site, atarudi saa 5. Ukimuuliza tu kanuna na 2 M hatoi tena! Na wewe kwa kuitak 2M unauchuna japo roho yakuchomoka! Ila usingemuoba jeuri ya kurudi saa 5 asingeipata.

2. Dont show her You really like really need her to stay! Show her you need her to stay as long as anataka kukaa na anakaa kwa adabu! Wala hubembelezi. Uozo ni gradual process! Mtu haanzi vaaap! Anakupima mdogo mdogo! Akirudi saa 8 usiku, asubuhi unamrudisha kwa na kumwambia utamfata baada ya mwezi, tena unamfata baada ya miezi 2! Ukiitwa usuluhishi huendi hadi huo mda utimie. Ukimrudisha HATOTHUBUTU KUTINGISHIKA!!!!!!!!

3. Tengeneza mazingira alelewe Bosi ofisini ila mule ndani yeye mkeo tu! Bado hajapanda cheo mule ndani.

Ujue kumuoa mtu afu akikuchoka ama kutoka kimaisha unamuacha tuuu, ama unakimbia na kumuachia ajinafasi sio kabisaaa! SHE USED YOU! DESTROYED YOUR LIFE! AND FINALLY DUMPED YOU! Hapo wewe kama ndo Roman Catholic HUWEZI KUOA KIHALALI TENA!!!!!!! Si keshakuharibia maisha! Wanao wanakua bila wewe kuwalea, mwenyewe unakuwa kama nati zimekatika! Aaaaaaaaaaah! Wapi! Sio kirahisi rahisi!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu hamkawii kujisahau... we kila mkikorofishana utasiki....
1. Mwanaume utakuwa wewe, nakulisha....
2. Mwanaume suruali... kazi kujaza choo tu..
3. Eti na mimi nimeolewa.... wakati kila kitu naleta mie...
4. Wakati mi nasoma we si ulikuwa unachunga ng'ombe, nawanunua uendelee kuwachunga hapa nyumbani..
5. etc etc...

Unaweza ukawa sawa, ila cha kujiuliza mbona wengi hujaga kuishi au kuwa na mahusiano na wavulana(serengeti boys) ambao wengi wao hawana kipato cha kueleweka?
 
Kuna bidada mmoja alikuwa na majibu kwa mumewe vibaya sana

kisa ye ni Bosi mkubwa huko Mahakama kuu na mumewe

ndo vile kusimamia miradi ya mkewe!!!!!!!!!!!
 
Unaweza ukawa sawa, ila cha kujiuliza mbona wengi hujaga kuishi au kuwa na mahusiano na wavulana(serengeti boys) ambao wengi wao hawana kipato cha kueleweka?
Sasa serengeti boi si anakula amri tuuu...??? We ushapewa KIVITZ cha kukatiza mitaa utaleta jeuri....?? Sasa amri akipeleka kwa mume ndo anaamua kubwaga manyanga maana inakuwa majanga, we wa kumarishwa kila siku kisa cheo, hela, yaani mama anataka nafasi zote, ya baba, ya mwalimu, ya mtoto, ya rafiki yako, ya babako mzazi... nani ataweza..?? Na hivi Nyerere katufundisha umasikini jeuri...
 
Kuna bidada mmoja alikuwa na majibu kwa mumewe vibaya sana

kisa ye ni Bosi mkubwa huko Mahakama kuu na mumewe

ndo vile kusimamia miradi ya mkewe!!!!!!!!!!!
Hapo chacha... kuna wengine wanajisahau na kudhani anaweza akafunga ndoa na cheo chake au miradi yake....
 
Boss ni kuanzia ngazi gani?

Manake kila siku kelele kuwa wanawake hawapo kwenye nafasi za kiuongozi, imekuwaje hadi kuwa na wengi kiasi hiki wanaojuulikana na mtu mmoja tu tena hadi kufikia hitimisho hili?
 
1. Wanaume wengi (sio wote) hawana confidence mbele ya wanawake wenye mafanikio;

2. Wanawake wengi wakifanikiwa wanakuwa na kauli mbiu ya wao kutaka kuwa vichwa vya familia (kuwa final decision makers) kwa kigezo cha kwamba wanachangia zaidi ya wanaume;

3. Mungu alimwambia Adam kwamba atakula kwa jasho lake wakati Hawa aliambiawa kwamba atazaa kwa uchungu, so mwanaume ndiye mwenye jukumu la kumlisha mama. Ikitokea mama akawa na uwezo wa kujilisha na kumlisha baba zaidi ya baba awezavyo, baba anajiona si lolote kwa sababu ameshindwa kutekeleza agizo la Mungu; na

(NA HUYO HUYO MUNGU ALIMWAMBIA MWANAMKE UTAKUWA CHINI YA MWANAUME, NA MWANAUME NDIO ATABAKI KUWA KICHWA,,,,,TATIZO WANAWAKE WAKISHAKUWA NA UWEZO KULIKO MWANAUME WANATAKA WAO NDIO WAWE JUU YA MWANAUME, YANI AWE KICHWA,APANGE KILA KITU TOFAUTI NA MAAGIZO ALIYOPEWA NA MWENYEZI MUNGU) NA HAPO NDIO ANAPOKUWA AGAINST NATURE: MWANAMKE ALIPOWEKWA SAWA NA MWANAUME PALE BUSTANINI ALIHARIBU NA NDIO MAANA MUNGU AKAONA KUWA HAUFAI KUWA JUU YA MWANAUME: KATAFUTE FAMILIA YEYOTE AMBAYO NDANI YA NYUMBA MWANAMKE NDIO MWENYE SAY HALAFU INGALIE ILE FAMILIA HASA WATOTO......NI SHAGHALABHAGALA
 
Back
Top Bottom