Kwa nini nawasahauri mvute mjani

kweli Shossi waanzishie thread utakuwa umewasaidia maana sidhani kila mtu anaweza pita hapa,ila ukiiweka kama thred wataipia wengi hususan wenye matatizo hayo
 
kweli Shossi waanzishie thread utakuwa umewasaidia maana sidhani kila mtu anaweza pita hapa,ila ukiiweka kama thred wataipia wengi hususan wenye matatizo hayo


Hiyo kitu ni noma halafu imepigwa marufuku na mhe Mrema yule mzee wa TLP, italeta utata nikiifanyia marketing waache wale kijiti..............
 
Ndugu,

Marijuana au BANGI/BANGI ni hatari sana,ukivuta pafu moja umepata uenda wazimu wa miaka saba,

Huyu mwenzetu hajielewi ni teja,Kwa jina la YESU toka huko uliko,Njoo upone.
 
achana na kitu cha mianzini na sanawari arufu yaani mpaka serekali imewafungia mataa kwa kuwaheshimu chalii yangu yaani nikipigaga ile kitu najisikia swanga halafu nafikiri fasta uliza machalii wote tuliokuwa tunasoma nao na tuliokuwa tunapika hii kitu jinsi tulivyokuwa juu kimasomo hata juzi nimefanya mtihani moja na nimeongoza nimepiga maana nikipiga hii kitu nikiingia kwenye paper memori inakuwa juu kinyama chalii angu hata kazini pia nakuwa fasta ukizingatia namiliki mibiashara yangu hata nikiwa naenda kwenye miting napiga kitu kwanza nikiwa kwenye negosiasheni za kibiasha napiga hii kitu kwanza mazee inanipa makonfi na nakuwa nauwezo wa kushawishi muulize hata bush raisi wa mererani ohosp sorry rais wa marekani arifu alikuwa napiga hii kitu hata osama naye ni member hii kitu wazungu wanajua anasaidi kustimulet brein unathink fasta ndio maana wenzetu wako mbali kuna maeneo wametenga kwajili ya kupigia kitu na kuna kiwango ambacho kinaruhusiwa ukiwa nacho ni kwaajili ya wewe mwenyewe kujisevia sio kibiashara.
ohoo kwanza ngoja nichome kijiti kimoja

tatizo usivutie chooni ukichanganya na harufu ya chooni unaleta matatizo kama unakosa kabisa maali pa kuvutia wee nenda kituo chochote cha polisi waambie wakuonyeshe mahali utakapopigia msuba chalii angu lakini inabidi uende nayo nyingi maana inaweza isiwatoshe ukajikuta umeishia kuwasha tu na wengine wamepiga pafu moja tu

halafu bange ya geto ina raha zake kitu cha kupokezana stimu inakuja tartiiiibu huku mkisikiliza mziki mkubwa wa bobu mnasahau matatizo ya dowans na machungu ya matokeo ya uchaguzi mkuu na matatizo kibao ya nchi hii mi nakuambia kama kikwete angekuwa anachoma hii kitu angekuwa raisi powa sana asingekubali upuuzi wa kina rostamu na mafisi maji wengine nawasiwasi na sita na mwakembe kuna wakati wanachoma hii kitu ndio maana wako fit.
unajua watu wanaochoma hii kitu wako powa sana
 
weed.jpg

Itafanya maisha yako kuwa burudani...
It is very relaxing aisee....
it wil makelife better and make everything you do more fun and change your life...
has alot of medicinal uses.....madokta wana i recomend kwa baadhi ya wagonjwa...
you should definetly try it once wakuu...mtaniambia nyie wenyewe hamta acha...welcome to marujuana
yoy una vituko kweli
 
weed.jpg
Itafanya maisha yako kuwa burudani...It is very relaxing aisee....it wil makelife better and make everything you do more fun and change your life...has alot of medicinal uses.....madokta wana i recomend kwa baadhi ya wagonjwa... you should definetly try it once wakuu...mtaniambia nyie wenyewe hamta acha...welcome to marujuana
koh! Koh! Koh! Wooh! Wanaiita GonEjah..Ni dawa pia ni faIyAh!Pipl dem go HaIyAh!Gimme dE seed!Hook ganja Weed!Legalize it and i will need!Advertise it and i will bid!Ganja ni noma jamani!
 
it wil makelife better and make everything you do more fun and change your life... has alot of medicinal uses.....madokta wana i recomend kwa baadhi ya wagonjwa... you should definetly try it once wakuu...mtaniambia nyie wenyewe hamta acha...welcome to marujuana[/QUOTE said:
Athari za maisha magumu na kukata tamaa!
 
Mimi pia ni mshiriki wa hii ibada. na sijaona madhara yake mpaka sasa. kwanza inanipa uwezo wa kufikiri sana. Naskia hata waheshimiwa wetu wapo wanaitukuza hii kitu. Na hata warembo masista duu baadhi wanaishiriki! Legalize it
 
Back
Top Bottom