Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
r u a great thinker!??
You aint great thinker then....Fact 3:When used correctly and responsibly, msuba can actually increase your ability to find new and innovative solutions to problems.Inasaidia ku think outside the box….uliza great thinker yoyote anavuta mjani…
Mie I am not sijui wewe Mkuu...................
inaongeza stamina kwenye majamboooozz,uliza demu aliyepitiwa na mvuta bangi:coffee:
Alaa wewe vipi? mie siku moja moja huwa natumia shamba rungu au ngalito hiyo mvuta bangi kasingiziwa..........
hahahaa we mkali yakhe
Ukifikiria ndani ya BOX,:sick: kama kweli....besides the fact that it is illegal I see no harm in reality
Ngoja nikupe ukweli kwanini nakuambia Mjani hauna madhara yoyote ila ni faida kuupuliza .
.....Fact 1 inakadiriwa zaidi ya Bilioni nyingi zinapotea kimapato kama ingehararishwa Tarime ingekuwa kama LA au Singapore
.....Fact 2: hakuna mtu alieripotiwa kafariki eti kwa sababu kavuta mjani...
..Fact 3:When used correctly and responsibly, msuba can actually increase your ability to find new and innovative solutions to problems.Inasaidia ku think outside the box .uliza great thinker yoyote anavuta mjani
Kwanini nasema msuba lazima uwe legal ..
Watu wengi wanaokunywa pombe watahamia kwenye msuba ..hakika nawaambieni walevi wa pombe ndio wasumbufu,wavunja sheria,wakorofi na wenye kero nyingi katika jamii yetu. pombe ni mbaya kiasaikolojia na physically ..haiyumkini kuona walevi wakiwa wamejeruhiwa vibaya miili yao .mvuta msuba wapi umemuona kajeuriwa au kafariki kisa kavuta?....thats why legalizing mjani kutapunguza hata vifo vya barabarani na majanga mengine .
.lets come together people .Legalize msuba will be benefit to society yetu hii ya watu wasiokuwa na ufikiri wa kina ..
Shosti umefahamu ninachokisema lakini?
bora uwaambie...hawajiulizi kwanini bob wanawake walikuwa wanampenda....
nashangaa kutwa wanalalama wakati dawa ya bei nafuu iko sidhani kama msokoto mmoja unazidi mia,na utatumia zaidi ya mara3
sinawazungumzi9a hawa wa wageni wanaotaka nguvu za kiume,kwao moja watavuta mara tatu,unataka kuua mtu nini!mamito....puli moja mbona fasta tu.....mara tatu labda anaeanza leo![/COLOR][/B]
hebu nifafanulie kabla sijaumbuka:coffee:
mhh sasa mbona huwa unawabania wanaume wenzio wanaaibika kila siku,waanzishie thread ya hii kitu ili uwaokoe upate thawabu zako bwana:coffee:Kule kwa wapare kuna majani yanafanana na hayo hapo chini yanaitwa Shamba rungu hayo ni cha mtoto ukiyapata yanayoitwa ngalito ukipanda hushuki na hushushi fasta game inakuwa ndefuuuuuuuuu..........................
mhh sasa mbona huwa unawabania wanaume wenzio wanaaibika kila siku,waanzishie thread ya hii kitu ili uwaokoe upate thawabu zako bwana:coffee:
Wala siwabanii Shosti tena hiyo hata wewe ukila huchoki uta fika kiulaini ile safari yetu na uta taka na kutaka kwa kifupi utaenjoy sana lol