Kwa nini Moderm za Zantel zinakuwa ghali sana kimatumizi?

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Ki ukweli nimeshindwa coz kama umakini nimejalibu kuwa makini zaidi ya umakini wenyewe nimezuia update automatic zote kwenye ma laptop,nilinunua bandle ya 1gb nimekaa nayo siku kumi tu tena nasoma email tu kudownload sijawahi kbs!baada ya kuisha nikiweka vocha ya buku mbili inakaa nusu saa tu imekata!hebu niambieni wadau au pengine hiki kimoderm ndo kinamatatizo au inakuwaje????
 
Kama Airtel inakamata vizuri hapo ulipo (fanya uchunguzi) inunue. Shilingi 2500 unapata 400 MB ambazo zinaexpire after 1 month. Zikiisha kabla ya 1 month unaweza kurecharge hata mara elfu. Achana na Zantel. Sitarajii ulalamike tena. Asante.
 
Ki ukweli nimeshindwa coz kama umakini nimejalibu kuwa makini zaidi ya umakini wenyewe nimezuia update automatic zote kwenye ma laptop,nilinunua bandle ya 1gb nimekaa nayo siku kumi tu tena nasoma email tu kudownload sijawahi kbs!baada ya kuisha nikiweka vocha ya buku mbili inakaa nusu saa tu imekata!hebu niambieni wadau au pengine hiki kimoderm ndo kinamatatizo au inakuwaje????

ni kweli kabisa,mimi nilikuwa natumia vocha lakini ukiweka elfu tano hata masaa mawili hayaishi...wanavuna bila kupanda
 
mi natumia zantel kwa vile sina option kwani eneo ninalokaa ni zantel tu inayofanya kazi kwa ufanisi.Ila kwa kweli wanatuumiza sana na hivyo vibundle vyao uchwara ambavyo spidi yake ya kuisha ni kubwa mno tafauti na wanavyotangaza.Nitavumilia tu hivyo hivyo mpaka ukombozi utakapo patikana.
 
Mtoa mada nawasiwasi kuwa ana matumizi ambayo hawezi kuyaeleza hapa. mbona mimi MB 500/month na modem yangu ya zantel iko poa tu?
 
Mtoa mada nawasiwasi kuwa ana matumizi ambayo hawezi kuyaeleza hapa. mbona mimi MB 500/month na modem yangu ya zantel iko poa tu?

ni kweyi kabisa mgoshi, kwani mi pia natumia zantel na naenjoy kama nini. I think zantel
wapo ghali kwa sababu mtandao wao upo strong na high speed. cheki,
airtel speed ni 236.8kb kwa sekunde, yle zantel ni 3.1mb kwa sekunde
 
Mtoa mada nawasiwasi kuwa ana matumizi ambayo hawezi kuyaeleza hapa. mbona mimi MB 500/month na modem yangu ya zantel iko poa tu?
Nataka kuangalia salio la data lililobaki kwenye modem yangu ya zantel nifanyeje?
 
Back
Top Bottom