Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
- Thread starter
- #41
Mrejesho: baada ya jana kufanya utafiti na upelelezi wa kufa mtu kama wa Kova, iligundulika wala mke na watoto hawakuiba pesa hizo kwa jana maana baba yao hajawakosea kipindi kirefu. Aliibiwa huko malishoni alikokuwa.
Ila mke alikiri pale kuwa wao humwibia pesa pale anapokuwa na shida au akimcheat na barmaid wa bar ya jirani.
Basi yaliisha hivyo hivyo na mme wala hakuomba cha msamaha ila pesa zake kazipata God knows where.
Basi familia bado iko pamoja.