kwa nini matokeo ya shule za private zinafaulisha zaidi kuliko za goverment?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
kama ni vitabu sawa,elimu inayotolewa ni ya hapahpa ya mfumo wa tanzania kwann iwe private na sio governmenty?tatizo nini?walimu or wanafunzi?
 
ni walimu na jingine wazazi kutokutilia mkazo watoto wao kuhusu kusoma..
 
The answer is obvious: Zina walimu wakutosha na ambao wako well motivated. Pili zina vitabu na vitu vingine vya kutosha. Zina walimu wa kutosha na facilities kwa sababu ada ni kubwa sana
 
Hata za serikali zinaweza kuwa nzuri kuzidi za private, kwa kuwa za Serikali zinachangiwa na kila mtu kwa kodi
 
Back
Top Bottom