Kwanini Masterplan za Arusha, Mwanza, Dodoma na Dar zinafanywa siri na wanasiasa?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Nadhani mshajua kwa nini hawataki kuweka website ya BRELA iwe open...kwa sababu tutajua ma director wa makampuni uchwara ni akina nani

sasa jiulizeni kwa nini wanaficha masterplans za miji yetu wakati majirani wanawashirikisha wananchi kwenye mipango yao ya maendeleo?

Tazama Masterplan ya Kigali

original_81504_TJ_ksP8N7QBDscQFeqNnAAt5A.jpg
 
Hii itakuwa picha tu masterplan ni kitabu' pia ndugu Master plan siku hizi hazifanyi kazi kwan utekelezaji wake ni wa muda mrefu zaidi ya miaka 40! Sasa hv kuna kitu kinaitwa Stretagic urban development plan(SURDP) Ambazo hapa kwetu haziandaliwi sana!
 
Huo mchoro wake unaweza kuwa unaonyesha Strategic Urban Development Plan ya Kigali CBD, hizi Plan hapa TZA nadhani hazipo kabisa hasa kwasababu ya ukosefu wa wataalam wazuri na mipango endelevu ya aridhi, ila katika ule mpango wa kigamboni walitengeneza mipango na michoro yake yote.

Hata hivyo sijui kwanini anasema master plan ni siri! sijui nani kamwambi ni siri? au kila husilo lijuwa ni siri?
 
Back
Top Bottom