Kwa nini majike tu?

wakuu, hv kwa nini wanawake wengi huwa wanaona kama halali yao kuhongwa? s wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake akiwa na mshkaji anaona matatizo yake yanaishia hapo...mara nataka vocha!, mara losheni!
mkitoka auti kulipa bill tu mziki!....si wasomi, si wa uswahilini!

eeeh hata biblia imeindikwa enyi waume watunzeni wake zenu na nyie wake wapendeni waume zenu ila siku hizi tunajitahidi sometimes mie namuomba mwenzangu tutoke na siku hiyo cost zote zinakuwa juu yangu tena nitahakikisha amepata ile kitu roho inapenda na kwa gharama yoyote ile .......
sio lazima kila siku nipewe hela ya saloon rotion ,chips ,thoda ,khanga za mombasa ,vitenge vya nigeria na mwenzangu
 
Boyfriend wangu kanipa ATM card yake plus password. ila nisitoe zaidi ya laki sita kwa mwezi. na masharti natimiza. kusema kweli nampenda sana
 
mshahara wa waifu huwa nausikia tu bombani!lakini sina namna.ninachotaka kwake ni mapenzi tu.na ili nimaintain mapenzi lazima nihakikishe ninamaintain social-harmony!she must be happy
kaka kuna tofauti kati ya..... to provide for the family and giving out money to maintain harmony. kwani mshahara wake unakwenda wapi?
As man, i provide for my family.....lakini kama wife ana mshahara (inategemea ni bei gani sasa, inaweza kuwa tuhela tuchache twa pamba za karume) lazima tuziweke pamoja kimkakati kwa maendeleo.
 
Boyfriend wangu kanipa ATM card yake plus password. ila nisitoe zaidi ya laki sita kwa mwezi. na masharti natimiza. kusema kweli nampenda sana

Kuna konekisheni hapa kati ya ATM card, Laki sita kwa mwezi na kumpenda!

Pole Vivian nina uhakika siku ukinyang'anywa ATM card na mapenzi yatakwisha
 
Mmmh topic hii inanikumbusha Mwezi june, 2009. Nilikutana na binti m1 kwenye lift PPF Tower, mrembo wa kutosha!! Ikabidi nimtupie sumu, nikamwomba tukae sanaa pub kwa ajiri ya mazungumzo kidogo!! Baada ya hapo binti akawa wangu lakini mambo hatoi. Kila nikiomba anasema kesho leo siko fresh!! Hapo kila saa saba kasoro ananipigia oohh swty mambo, unaenda wapi lunch!!

Baada ya wiki kama 2 hivi akanipiga mzinga wa TZS. 500,000/-, nikamwambia subiri ntakupa Jmosi, ilipofika jmosi binti akaenda hewani kuulizia pesa aliyoiomba. Nikamwambia aje hoteli fulani (jina kapuni) nimpatie. Saa sita kamili binti huyo, kaulamba sio mchezo. Nikamchukua nikamleta room, huku mezani nimeiweka hiyo laki tano kwenye meza inaonekana!! Story zikaanza huku nikinywa Serengeti na binti akibugia Wine, huku binti anacheka cheka tu na kujifanya anamponda mwanaume wake aliyekuwa naye kabla!!

Akanipa mchezo maridadi sana, tulipomaliza nikammuliza nikakudrop wapi?? Akaniambia niache Mwenge, nikachukua ile pesa na tukaanza kutoka. akauliza mbona simpi ile pesa? nikamwambia kiutani nitakupea kwenye gari sitaki mrembo ubebe mzigo wakati mi nipo. Tulipofika kwenye gari na kuanza kuondoka nikamwambia kwa siku ile nisingeweza kumpa ile pesa, alipojaribu kuuliza kwa nini nikamwambia nilikuwa na shida nyingine. Akakasirika sana na kuomba nimshushe, nikamshusha huku nikimuuliza 'ulikuwa unaniuzia penzi?'
 
Boyfriend wangu kanipa ATM card yake plus password. ila nisitoe zaidi ya laki sita kwa mwezi. na masharti natimiza. kusema kweli nampenda sana
MMMH! laki sita za nini? anakulipa that is!!! for the service you are extending to him? do you love heim for that? If yes, mbona kuna watu wanaweza kukupa ATM uchukue 1m? ukimpata anayepanda dau si utamkimbia wewe!!!
 
kaka kuna tofauti kati ya..... to provide for the family and giving out money to maintain harmony. kwani mshahara wake unakwenda wapi?
As man, i provide for my family.....lakini kama wife ana mshahara (inategemea ni bei gani sasa, inaweza kuwa tuhela tuchache twa pamba za karume) lazima tuziweke pamoja kimkakati kwa maendeleo.
umesomeka mkuu!
mambo vipi lakini?
 
Boyfriend wangu kanipa ATM card yake plus password. ila nisitoe zaidi ya laki sita kwa mwezi. na masharti natimiza. kusema kweli nampenda sana
huyo ni BOIFRENDI!nachelea kusema kwamba ninyi ni mahawala!hayo ni malipo yako baada ya (.........)
 
Mi kwa kweli sikubaliani na hilo, tatizo ni jinsi unavyomlea demu/mkeo ndivyo hivyo itakavyokuwa siku zote, ukimlea kwa kumpa mkwanja basi utatoa mpaka utakoma, lkn km mkizoeshana kupeana wala haina neno, siku akiwa nazo anakupa nawe ukiwa nazo unampa, kwa mfano mi na mke wangu tunagawana japo yeye anapata nyingi kuliko mimi!

Nakubaliana na wewe ni jinsi tu unavyomlea mtu wako.
 
Boyfriend wangu kanipa ATM card yake plus password. ila nisitoe zaidi ya laki sita kwa mwezi. na masharti natimiza. kusema kweli nampenda sana

Unaona sifa kuwa tegemezi??? Je unajiaandaaje Mungu atakapomchukua? Utapata mwingine wa kukupa TZS 600k pm??
 
hapo hapo ndy pabaya, niliwahi kushuhudia ugonvi wa mshakji mmoja na mkewe (ndoa ya kishkaji) jamaa alikuwa na biashara inamlipa vzr, wakakorofishana na demu, demu akakomba kila kitu wakati mshkaji hayupo! Kisha akarudi kumsubir........mshkaji anauliza vp mbona umeondoka na vitu vyangu "mpaka friji?" demu anabetua midomo "eee..kwani ulikuwa unanifanya bure?" ilishawahi kutokea mademu wangu kadhaa enzi sijaoa, wakawa wananito kishenzi vipesa, vocha zawadi nk, lakini kumbe wanawekeza...baada ya muda unaskia nikopeshe milioni 6 biashara yangu imeroga!! Mwe mwe mweh, ukimkopesha tu umeliwa!!

hili tatizo ni kwa
wanawake wa tz zaidi..
Wanawake wa kenya sio sana.

Nilikuwa na girlfriend mkenya..
Nikimnunulia zawadi na yeye ataninunulia kwa pesa yake.
Hakuna kubeep wala kuomba vocha.

Wanawake wa kibongo wana mazoea ya kupewa tu.
Sijui ni nini?
 
Hapo ndipo napokupendea bwashee. Ungeambiwa mkutane church kwenye kwaya ungamwambia sore mukulu, leo nko tight sana! Bwahe bana! Hahahaha!
wewe bana!hahahahahahah.unakunywa bia gani wewe?WEITAAAAAAAAA MPENI SHEMEJI SERENGETI!
 
wakuu, hv kwa nini wanawake wengi huwa wanaona kama halali yao kuhongwa? s wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake akiwa na mshkaji anaona matatizo yake yanaishia hapo...mara nataka vocha!, mara losheni!
mkitoka auti kulipa bill tu mziki!....si wasomi, si wa uswahilini!

Majike...? Sijakusoma kabisa!
Binadamu wa jinsia tafouti na yako mfano mama, shangazi yako anaitwa mwanamke. Jifunze kutumia lugha vizuri.
Siku hizi hata wanaume (baadhi) wanapenda kuhongwa.
 
MMMH! laki sita za nini? anakulipa that is!!! for the service you are extending to him? do you love heim for that? If yes, mbona kuna watu wanaweza kukupa ATM uchukue 1m? ukimpata anayepanda dau si utamkimbia wewe!!!

Kumpa GF wako hela sio kumhonga babaee! na wala sio kumnunua! kama kununua mnakubaliana bei kabla ya mchezo. yaani watu wengine bana.
 
Kumpa GF wako hela sio kumhonga babaee! na wala sio kumnunua! kama kununua mnakubaliana bei kabla ya mchezo. yaani watu wengine bana.

By the way do you still hate your boss? Off point, I know.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom