Kwa nini mahusiano na mabinti wa vyuoni wanakuja kuttukimbia mtaani!!baada ya shule

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,923
22,075
Umewahi kujiuliza hili?
Kuna asilimia chache sana sana wanaokuwa na urafiki mavyuonina kifuikia kuoana kama mume na mke
hii ni kwa wale wanaume walio mavyuoni sasa ya kufungua vichwa vyenu muwache kutumika kama sehemu
ya kuwapasisha mabinti...kumekuwa na katabia cha mabinti wengi sana sana wanakuwa na uhusiano na wanaume
lakini wakimaliza na kugraduate mahusiano mengi yanaishia siku moja ama wiki baada ya grdauation

je hii ni sababu gani ??nimekuwa nikijiuliza je ni sababu ya kusaidiwa wafaulu ama??je ni target ya kufanikiwa
kimaisha ili wakitoka wawasahau wenzao???kwa mliosoma mwaka 2000 kuna couple moja ilikuwa kijana mmoja
wa kawaida na dada mmoja mweupe,,jamani walipendana sana sana...,he nakwambia majuzi juzi nimemkuta jamaa kwenye ndege anaenda mwanza nikamuuliza huyu dada wa nyuma ndio mkewetu akasema ndio..nikamuuliza akulikoni akasema longstory tusifike huko br,,tushasahu..lohhhh

embu ukae ukijiuliza sasa sasa je haya mahusiano ya shule kwa nini wakimaliza mkiingia mtaani mnakula kona...???
 
Mhhhhhhhhh! Naogopa kukuliza kwa majina ukiniruhusu ntakuuliza humu humu. Au unamaanisha ile couple ya Mtoto wa Marehemu Prof. Kwe...... na kale kajukuu ka Aboud Jumbe mzeee?
 
Umewahi kujiuliza hili?
Kuna asilimia chache sana sana wanaokuwa na urafiki mavyuonina kifuikia kuoana kama mume na mke
hii ni kwa wale wanaume walio mavyuoni sasa ya kufungua vichwa vyenu muwache kutumika kama sehemu
ya kuwapasisha mabinti...kumekuwa na katabia cha mabinti wengi sana sana wanakuwa na uhusiano na wanaume
lakini wakimaliza na kugraduate mahusiano mengi yanaishia siku moja ama wiki baada ya grdauation

je hii ni sababu gani ??nimekuwa nikijiuliza je ni sababu ya kusaidiwa wafaulu ama??je ni target ya kufanikiwa
kimaisha ili wakitoka wawasahau wenzao???kwa mliosoma mwaka 2000 kuna couple moja ilikuwa kijana mmoja
wa kawaida na dada mmoja mweupe,,jamani walipendana sana sana...,he nakwambia majuzi juzi nimemkuta jamaa kwenye ndege anaenda mwanza nikamuuliza huyu dada wa nyuma ndio mkewetu akasema ndio..nikamuuliza akulikoni akasema longstory tusifike huko br,,tushasahu..lohhhh

embu ukae ukijiuliza sasa sasa je haya mahusiano ya shule kwa nini wakimaliza mkiingia mtaani mnakula kona...???

Mkuu hata wewe ungekuwa demu, hivi mtu chuoni kakutia tia shombo tu halafu dhiki za chuo unaingnia nazo mtaani huko nako unataka uendelee kumtia shombo wakati kuna watu wa maana wana weza wakatunza mali! Kwani wewe wangapi uliowabanjua std seven sasa hivi unaendelea nao? Mfumo ni huo huo mkuu
 
mhhhhhhhhh! Naogopa kukuliza kwa majina ukiniruhusu ntakuuliza humu humu. Au unamaanisha ile couple ya mtoto wa marehemu prof. Kwe...... Na kale kajukuu ka aboud jumbe mzeee?

aisee kumbe sheikh yahya ameacha xxx wake mpwa hao hao...mmmhhh we acha tu
 
Mkuu mbona ile ilitokea hata kabla hata hawajamaliza chuo kamanda, na kuna Lecturer pale pale alichukua mzigo jumla mkuu, lol
 
Kabla huyo jamaa yako wa muhimbili, demu alishampigaga kibuti mchizi mwingine walotoka naye zenji. So mtoto wa Prof naye alimpora mtu mwingine pale pale chuo naye akaporwa vile vile. Nilikuwa nawa admire sana wenyewe wanavyotoka Hall 7, utapenda mkuu. Aisee umenikumbusha mbali sana, mweeeeeeeeeeee!
 
unajua wengi wakti wapo vyuo wapo on the road to self discovery..na mara nyingi ni wachache wanakuwa tayari wame develope insight into matters regarding love and relationships...hivyo basi unajikuta wapo katika process ya trial and error.
wee jiulize ni wangapi wanakuwa wamepata mafunzo au advise on relationships d how to chose a right partner? vey few if not none
chengine ni kwamba hapa ndio hormones zinawaka moto basi hata judgement inakuwa poor....hii ni stage ya young and dumb love....
 
Umewahi kujiuliza hili?
Kuna asilimia chache sana sana wanaokuwa na urafiki mavyuonina kifuikia kuoana kama mume na mke
hii ni kwa wale wanaume walio mavyuoni sasa ya kufungua vichwa vyenu muwache kutumika kama sehemu
ya kuwapasisha mabinti...kumekuwa na katabia cha mabinti wengi sana sana wanakuwa na uhusiano na wanaume
lakini wakimaliza na kugraduate mahusiano mengi yanaishia siku moja ama wiki baada ya grdauation

je hii ni sababu gani ??nimekuwa nikijiuliza je ni sababu ya kusaidiwa wafaulu ama??je ni target ya kufanikiwa
kimaisha ili wakitoka wawasahau wenzao???kwa mliosoma mwaka 2000 kuna couple moja ilikuwa kijana mmoja
wa kawaida na dada mmoja mweupe,,jamani walipendana sana sana...,he nakwambia majuzi juzi nimemkuta jamaa kwenye ndege anaenda mwanza nikamuuliza huyu dada wa nyuma ndio mkewetu akasema ndio..nikamuuliza akulikoni akasema longstory tusifike huko br,,tushasahu..lohhhh

embu ukae ukijiuliza sasa sasa je haya mahusiano ya shule kwa nini wakimaliza mkiingia mtaani mnakula kona...???

miaka ya elf 2,chuo gan?
Ref to the mada,zipo 7bu lukuki
.mchakato wa kutafuta pesa,maana watu hao mara nyng hurud kwao
.OUT OF SIGHT IZ OUT OF MIND
.GAlz huwa wanapata fursa za kuwezeshwa.@job plesi,
.ila huenda wachumba hao huwa na wenza wao wengne
 
hata hvyo si mmejuana chuoni.sa unataka na mtaani ya nini?..ndo maana mi nshajichagulia kangu mtaani ili nikimaliza chuo tu ninaenda kufunga nako ndoa..........
 
Kabla huyo jamaa yako wa muhimbili, demu alishampigaga kibuti mchizi mwingine walotoka naye zenji. So mtoto wa Prof naye alimpora mtu mwingine pale pale chuo naye akaporwa vile vile. Nilikuwa nawa admire sana wenyewe wanavyotoka Hall 7, utapenda mkuu. Aisee umenikumbusha mbali sana, mweeeeeeeeeeee!

Watu kwa habari za watu hamjambo!!......

Kisha mtu anambie wanaume si wambea! huh
 
sasa mkuu,me nina swali 1 kwako.we chuoni ulienda kusoma au kuchunguza maisha ya watu?
 
Tatizo na wao mambo yao yalikuwa meupeeeeeeeeeeeee, so kila mtu alikuwa interested na hii couple, acha kabisa usisikie mdadangu. Love affairs za wengine utake usitake lazima utataka kujua mwisho wake. Ilikuwa ni mithili ya p didy na lopez, au kardashinian na yule ***** wake
 
sasa mkuu,me nina swali 1 kwako.we chuoni ulienda kusoma au kuchunguza maisha ya watu?

ushawahi waona wabongo wanakulana nanihii hadharani mbele ya madenti wenzao weyeeeee! kama ndoa tunaongelea why not this
 
Umewahi kujiuliza hili?
Kuna asilimia chache sana sana wanaokuwa na urafiki mavyuonina kifuikia kuoana kama mume na mke
hii ni kwa wale wanaume walio mavyuoni sasa ya kufungua vichwa vyenu muwache kutumika kama sehemu
ya kuwapasisha mabinti...kumekuwa na katabia cha mabinti wengi sana sana wanakuwa na uhusiano na wanaume
lakini wakimaliza na kugraduate mahusiano mengi yanaishia siku moja ama wiki baada ya grdauation

je hii ni sababu gani ??nimekuwa nikijiuliza je ni sababu ya kusaidiwa wafaulu ama??je ni target ya kufanikiwa
kimaisha ili wakitoka wawasahau wenzao???kwa mliosoma mwaka 2000 kuna couple moja ilikuwa kijana mmoja
wa kawaida na dada mmoja mweupe,,jamani walipendana sana sana...,he nakwambia majuzi juzi nimemkuta jamaa kwenye ndege anaenda mwanza nikamuuliza huyu dada wa nyuma ndio mkewetu akasema ndio..nikamuuliza akulikoni akasema longstory tusifike huko br,,tushasahu..lohhhh

embu ukae ukijiuliza sasa sasa je haya mahusiano ya shule kwa nini wakimaliza mkiingia mtaani mnakula kona...???

mbona hukutaja hiko chuo? Au kuna chuo kimoja tu nchi hii kilichotoa graduates mwaka 2000?
 
Mapenzi ya GPA na mapenzi ya dhati ni tofauti kabisa!! Inategemea mkoje. Vipi na ile watu wanaacha wapenzi wao mtaani, wakifika chuoni wanabeba vitu vipya?? Heheh siku ukitoswa nawe usilalamike!! Alafu kumbuka pia chuoni huwa kuna mapenzi ya facebook, ndo maana kila mmoja huwa anataka atoke na kitu mwemwereee(esp men) plus utamthilia mwiiiingiiiiiiii!!!
 
Back
Top Bottom