Kwa nini maandamano yenye nia ya kudai haki au kuikosoa serikali huwa hayafanikiwi?

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Iwe ni wastaafu wa EA, wapinzani, wanafunzi wa vyuo vikuuu nk. wakipanga kuandama basi mwisho ni kupigwa mabomu, kuuawa au kuzuiwa dakika za mwisho mwisho wasiandamane bila sababu za msingi.

Kwa nini TZ hairuhusu maandamano ya kudai haki? It is too much sasa. wat is da reason behind? serikali inaficha nini?
 
Back
Top Bottom