Kwa nini kuwaombea mabaya wengine...

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
Nimesikia watu zaidi ya wanne wanaosikitika kufariki kwa Kanumba, FINE!
Kilichonishangaza walikuwa wanathubutu kutaja jina msanii mwingine ambaye wanadhani angekufa badala yake,
Sasa mambo gani hayo
 
Kifo hakina mbadala
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom