KWA NINI KIKWETE HAENDI KUHIJI (HIJJAH) MECCA? Ili aitwe Alhadj Dr Dr Dr J.Kikwete

nyie mnaojadili usafi wa kikwete mmekuwa miungu? Mitanzania ndo tulivyo, ni jinsi gani tulivyofirisika mawazo
 
Jamani hii ni kitu very personal. Imani ya mtu anaijua mungu na yy mwenyewe. Kwenda au kutokwnda ni hiyari. Cdhani kama kila busara kumdiscas mtu hivi. Am not fond of him but for this is a big no no no nooooo. Pipo spare him wajameni..
 
Kwani ni lazima aende Makkah (Mecca) kwani akihiji Mlingotini kule Bagamoyo kuna shida gani?
 
Kikwete anatumia dini kwa maslahi ya siasa , ndio maana ni adui mkubwa wa shura ya maimam na kuwakumbatia bakwata
 
Siku akienda atazima kama daladala kwenye foleni na hataamka tena milele.
Kule unadhani wanaenda wenda wazimu!!!
 
wakubwa, kwanini tusiuanze mwaka huu kwa hoja zenye mshiko?? Akienda au asipoenda kwani ina tuathiri nini? Au bado tuna hang over ya mwaka mpya? Kujadili mambo ya jk na kwenda maka ni ukosekanaji wa hoja za maana.
 
SHARIA inasema kwa wale wenye uwezo wanaweza kwenda kuhiji walau mara moja in their lifetime!!! sio LAZIMA.
 
Back
Top Bottom