KWA NINI KIKWETE HAENDI KUHIJI (HIJJAH) MECCA? Ili aitwe Alhadj Dr Dr Dr J.Kikwete

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Jamani ivi ni kwanini Mh. Dr Dr Dr J.Kikwete haendi Mecca hukiji nae aitwe Alhad'j Dr Dr Dr Kikwete.
 
Ataenda siku akipenda na nafsi yake ikipenda kufanya hivyo (very personal thing)

Besides ina kuhusu nini uhusiano wa mtu na Muumba wake?

Wewe umeshaenda?
 
Kwa midhambi aliyonayo kwenda hawezi hata kidogo maana wanaoenda kujisafisha kule angalau ni wasafi at least
 
Ataenda siku akipenda na nafsi yake ikipenda kufanya hivyo (very personal thing)

Besides ina kuhusu nini uhusiano wa mtu na Muumba wake?

Wewe umeshaenda?
imekuuma sana pole sana, hawezi kwenda huko afya mgogoro ataenda, halafu siyo msafi....
 
Jamani ivi ni kwanini Mh. Dr Dr Dr J.Kikwete haendi Mecca hukiji nae aitwe Alhad'j Dr Dr Dr Kikwete.
akienda hijja asiende wewe inakuhusu nini?hayo ni mambo yamtu binafci hayapaswi kuingiliwa,ila hili swali ungemuuliza mwenyewe jk,kwa msaada chukua nambayake yasimu,ni 07*4***777 hizo nilizoacha kukupa ni Pm ntakupatia ukiwa unamaelezo yakunitosheleza.
 
Imeniuma? kwanini?

Hawezi kwenda akienda utafanyaje?

Siyo msafi? - wewe mungu?
Imeniuma? kwanini? kauli yako hii "ina kuhusu nini uhusiano wa mtu na Muumba wake?" ulisahau kuwa JK ni rais wa Tanzania tuna haki ya kumjadili
Hawezi kwenda akienda utafanyaje? -Atakuwa ametekeleza nguzo ya tano ya dini yake kama sikosei ila sahau JK kwenda Mecca labda ihamishiwe Marekani
Siyo msafi? - wewe mungu? - kwani mimi nataka kwenda Mecca, mimi siyo Mungu ila JK siyo msafi hata kidogo.
 
Imeniuma? kwanini? kauli yako hii "ina kuhusu nini uhusiano wa mtu na Muumba wake?" ulisahau kuwa JK ni rais wa tanzania tuna haki ya kumjadili

Kwenda kuhiji kunahitaji mtu msafi au ni kwenda kujisafisha?
 
Imeniuma? kwanini? kauli yako hii "ina kuhusu nini uhusiano wa mtu na Muumba wake?" ulisahau kuwa JK ni rais wa tanzania tuna haki ya kumjadili
Hawezi kwenda akienda utafanyaje? -Atakuwa ametekeleza nguzo ya tano ya dini yake kama sikosei ila sahau JK kwenda Mecca labda ihamishiwe Marekani
Siyo msafi? - wewe mungu? - kwani mimi nataka kwenda Mecca, mimi siyo Mungu ila JK siyo msafi hata kidogo.

Bado hainiumi kitu chochote aende asiende Tanzania kuna waislamu millions kila mwaka wanaenda watu 3000!

Kwahiyo akiamua kutokwenda atakuwa kwenye kundi kubwa tu la Waislamu..ok

JK siyo msafi..lol...alikwambia yeye ni nabii?
 
Back
Top Bottom