Kwa nini kabila la Wakurya bado wana mila za kizamani za kuwachagulia watoto wao wake/waume?

hahaha naona wenye kabila lao wamekuja,mpaka umekimbia

Badili tabia wala sijakimbia!kwa comments zao zote now naamini kuwa they are realy Kuryas!
 
Kwa taarifa yenu hakuna nilichowafanya!Kosa kubwa nililofanya ni kuwapenda saaana ndugu na wakwe!As you know siku zote mtenda wema huwa halipwi mema!This is what happende to me!
Pia me silazimishi kuolewa ktkt this family, na kama sikuwa na mapenzi ya dhati ningeshaachana na kijana wao zamani sana!Still naweza kuachana nae at any time, issue ni mtoto tu!
 
Kwani mtarajiwa wako msimamo wake ni upi?
 
wewe dada hujui kuheshimu mume ndio maana mnaolewa siku 2 mnaachika sasa ww umekaa na mtu miaka yote hiyo bado ulikua hujagundua kwamba hafai leo unakuja hapa kwa sentiments za tribalism...we tuache bana rudisha mtoto wetu tambaa mbele...kwanzandoa ni kati yako na mumeo, sio mama mkwe na pili wewe mwenyewe unasema kabila hili halijastarabika, sisi wakurya hatuna majungu wala uchawi, ndio maana kunatofauti ya maisha ya pwani na Mara, pale tukikosana ni tifu yanaisha nyie waswahili mpk kutoana mishipa na maneno kibao..sasa heshimu mume halafu tulia akuoe usilete hasira za kuahirishwa kwa harusi unakuja kutuandama kabila zima!!!

Ningekuwa nakuona nadhani ningekuchapa bakora! uyo mtoto wenu na nani?Nilipuwa labour wewe na hao unaosema mtoto wenu mlikuwepo?We vipi!Hebu kaa chini ufikirie hayo uloyatapika yana maana yeyote?We akili zako zinafanya kazi kweli!
Anyway ndo nathibitisha kuwa mna matatizo!Na habari za uchawi zimetoka wapi? Loo,Somoche...................................

Mind u...Every General rule has got its exception.....[/QUOTE]
 
Kwani mtarajiwa wako msimamo wake ni upi?

Anataka arekebishe kwanza kwa wazazi wake mana anataka baraka toka kwao. For the time being he is so stressed!One thing I belive, if we are ment to be together then we will be!I not then we wont be. Thanks
 
Naombeni ushauri wana jammii. Nimeishi na mwanaume wa kikurya kwa miaka saba sasa na tuna mtoto mmoa. Familia ya mwanaume huyu ni ya ajabu sijawahi kuona!Ndugu na wazazi wake ni watu wa ajabu kiasi kwamba nashindwa kuelezea!Kilichonisikitisha ni kitendo cha kuzuia harusi iliyokuwa ifanyike mwisho wa mwaka huu, sababu eti kwanza mie msomi, pili kijana wao akinioa (sio mkurya mwenzie) basi wao watampoteza mtoto dawao na hawatapata tena msaada toka kwake. Jamani hebi nipeni mawazo yenu, nifanyeje?

Usilaumu na kuhukumu tu! Ungetueleza na mapungufu yako yaliyochangia maana wakurya tumeoa makabila mengne na dada zetu kuolewa na makabila mengne sana,sasa isije ikawa ww ni miongon mwa wale wa dada wanao mpenda mme lakn hawatak kuona ndugu wa mumme kwny himaya zao ila ndugu zake mke. Alafu kwa nin muweka vimada miak ming hvyo? Isije ikawa we ndie ulikuwa unataka kumuoa kijana wa watu kwa jeur ya pesa na ndugu wameshtukia maana wakuria hatuolei tunaoa!
 
Kwa nini unataka kujua mapungufu yangu?mie ni binadamu so mapungufu lazima nitakuwa nayo. Unavyoongea ni kama vile nyie mko perfect 100%. Kwa taarifa yako nimeishi na ndugu za mume wanaume watano na wanawake watatu kwa miaka yote hiyo!I am the last borne sina ndugu wa kuishi nae, na hata kama angekuwepo nisingeishi nae!Ni wanawake wachache sana wanakubali kuishi na ndugu wengi kiasi hicho!
Labda nikujuze kidogo tu kuwa mi pamoja na kuwa nina kaelimu kadogo sina hela as you think eti nimuoe kijana wao! I have started working mwaka jana!In my life sijawahi kujivunia elimu hata siku moja!Kuali usikubali this family has got problems!Mimi mwanamke wa nne kukataliwa na wazazi wake!Hao wengine walikuwa kaila lake na elimu yao ndogo, the what about hao???????????????
Hakuna material things I am after in this family!What I want ni kuendeleza familia tuloianzisha, PERIOD!
 
Wakurya ambao wazazi wako vijijini na wanafuata mila ni kawaida kabisa kwa wazazi kuoa mke on behalf ya kijana wao. Wanalipa ng'ombe kila kitu, binti anaamia ukweni. Wewe kijana whether unamtaka huyo mke or not ni mkeo. Atakaa na wakwe zake; ukienda kusalimia unaweza kuendelea na wife kama kawa. Kuna wengine nawajua wake walioolewa waliwasusa; but mwisho wa siku hao wanawake wanazaa na wanaume wanaowajua wao, watoto wanakuwa wako. Wanapenda sana watoto hata kama si wao; kwao watoto ni mali.

But all in all nakubali wakurya ni vijana wazuri sana kuanzia sura mpaka tabia in the sense that hawana majungu wako open na wana upendo. Na tatizo la mila linawaathiri zaidi vijana wa kiume. Mfano mimi kaka yangu mkewe ni mkurya and I can say ana happy family and my wifi is a good wife material.
 
Sijaona kitufe cha "like" lakini nimependa mchango wako hasa hapo nilipobold na ungekuwa karibu ningekupa kiss la nguvu. Umesahau tu kuwaeleza kuwa hata kule kunako shughuli nyeti alhamdulilah mambo siyo mabaya. Ila naomba tu unijuze kidogo - hivi kuna tatizo gani mtu kufuata mila zao?
 
Dah, kweli uejitetea!

My Dear Walimweusi sijitetei najaribu tu kutoa elimu ili walau tufikie muafaka kwenye hoja ya msingi uliyoianzisha. Mtu anayejitetea ni yule ambaye ama ametenda au ametuhumiwa kutenda makosa fulani. Mimi ni mtu huru sina mashtaka yoyote na hivyo sina sababu yoyote ya kujitetea hasa kwenye suala ambalo liko wazi kama hili.
 
Wewe dada huwa nakuheshimu ila leo umevua nguo zote ukatupa mbele za watu!!! siamini kama wewe ndio unaropoka mambo ya hovyo hivi..hivi wazinzi wote hapa Afrika ni wakurya hata Clinton alipokua na Monica nae ni mkurya!!! shame on you!!! you better speak things your sure of, not from the lines of hatred and sentimentalism...wewe naropoka kama umemwagiwa maji ya moto toa ushahidi usihukumu watu tu unheard...dont be bias...unless sema una chuki na wakurya sasa unaongea pumba tu...

Sisi tupo ni wakurya wala hatuna wasiwasi nyie wenye viroho vya wivu mnapoteza mda kutujadili...small minders always speak about other peoples life...

chukua time huko,eti ulikuwa unaniheshimu...mie mamako????
mnavyosema wachaga wanapenda pesa.kuna mtu huwa hapendi pesa?just because clinton alikuwa na monica hakuondoi tabia ya wakurya kupenda nyumba ndogo,wamejazana ukonga na kipunguni pale nenda ukawasome tabia zao kama unataka....

and FYI am half mkurya...utajiju.
 
Huo ni mfano hai ulonitokea mimi, nina mifano ya watu watano pia yamewatokea kama hayo!! To be honest, hili kabila bado linahitaji elimu! Angalia mfano wa female genital mutilation, bado wanapractice hayo mambo! Kweli nawaambia huyu mama mkwe mngepata kumuona physically I swear ungemchapa viboko! :hatari:
Kubali ukeketwe kwanza ndiyo mambo yote yatakuwa shwari maana utakubalika katika ukoo.
 
chukua time huko,eti ulikuwa unaniheshimu...mie mamako????
mnavyosema wachaga wanapenda pesa.kuna mtu huwa hapendi pesa?just because clinton alikuwa na monica hakuondoi tabia ya wakurya kupenda nyumba ndogo,wamejazana ukonga na kipunguni pale nenda ukawasome tabia zao kama unataka....

and FYI am half mkurya...utajiju.

Wewe unaheshimu mama yako tu!!!!...basi mimi na mama yako tunaheshimiana sana kwa hiyo uwe na adabu...mana mm level yangu ni mama yako!!! half mkurya ndio nini!! sijawahi kuona hiko kitu mimi...nyumba ndogo unaiona mbaya wewe?!! wewe mwenyewe nyumba ndogo!! katawaze huko...

Watu wenye upeo mdogo kama wako ndio wanasema wachagga wanapenda pesa, its the same people with small mind,u being among who bluntly label kuryans as a dirty tribal, aggressive and naturally clue!!! but in actual sense ur speaking out of emotions and appended hatred sourced from lack of knowledge and stupidity nothing else...go to hell mosagane kama unatuchukia jinyonge nyaitako...kebhonoooo
 
Hakuna tatizo kama utaamua kuoa au kuolewa na watu wa kabila moja. Pale unapoamua kuchanganya kabila na kila mtu akang'ang'ania mila yake lazima kutatokea conflict. Nadhani umenipata.

Sijaona kitufe cha "like" lakini nimependa mchango wako hasa hapo nilipobold na ungekuwa karibu ningekupa kiss la nguvu. Umesahau tu kuwaeleza kuwa hata kule kunako shughuli nyeti alhamdulilah mambo siyo mabaya. Ila naomba tu unijuze kidogo - hivi kuna tatizo gani mtu kufuata mila zao?
 
Wewe unaheshimu mama yako tu!!!!...basi mimi na mama yako tunaheshimiana sana kwa hiyo uwe na adabu...mana mm level yangu ni mama yako!!! half mkurya ndio nini!! sijawahi kuona hiko kitu mimi...nyumba ndogo unaiona mbaya wewe?!! wewe mwenyewe nyumba ndogo!! katawaze huko...

Watu wenye upeo mdogo kama wako ndio wanasema wachagga wanapenda pesa, its the same people with small mind,u being among who bluntly label kuryans as a dirty tribal, aggressive and naturally clue!!! but in actual sense ur speaking out of emotions and appended hatred sourced from lack of knowledge and stupidity nothing else...go to hell mosagane kama unatuchukia jinyonge nyaitako...kebhonoooo

naona nimekugusa makend.e unalo hilo baki nalo,yes mie ni mkurya nimechangia na kabila lingine,hutaki hupendi kajinyonge!!!!!...hamna watu watesaji wa wanawake na wanapenda nyumba ndogo kama wakurya........wewe dada bora umewaepuka hawa waluga luga...sasa wewe mbwiga kama una hasira sana jitie kitanzi...nyambafu!
 
Ha ha ha ha nijitie kitanzi kwa ajili yako?!! mimi au mwingne mimi ni ntina mosagane..huwa sitishwi hata robo...hugusi kende hapa wewe lofa na wala huna hadhi mtu mwenyewe huogi utathubutu...wewe unasema tunapenda ndio ujinyonge mana inakuuma ha ha ha jabari lazima utoe huduma...inaonekana umewahi kuachwa na mkurya sasa una kinyongo ntakupa babu yangu akusugue mana huna hadhi ya kuchukuliwa na vijana...
 
Ha ha ha ha nijitie kitanzi kwa ajili yako?!! mimi au mwingne mimi ni ntina mosagane..huwa sitishwi hata robo...hugusi kende hapa wewe lofa na wala huna hadhi mtu mwenyewe huogi utathubutu...wewe unasema tunapenda ndio ujinyonge mana inakuuma ha ha ha jabari lazima utoe huduma...inaonekana umewahi kuachwa na mkurya sasa una kinyongo ntakupa babu yangu akusugue mana huna hadhi ya
kuchukuliwa na vijana...

kujinyonga ni njia rahisi kwa mbwiga kama wewe,sio kutoa povu kisa kabila lako limetajwa nyau wewe,kuumia ,mie na wewe nani anayeumia??? usijishaue mtu yeyote anakusoma unavyotokwa povu kwenyehii topic atajua umeguswa kunklo....unalo hilo...babu!....mwisho unikome,asiye na hadhi mamako ndio maana alizaa toto taahira kama wewe...usijihangaishe hunijui na hutakaaa unijuekamwe sina shida ya pumbu ninalo la haja full time mngese we!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom