Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,146
- 7,000
Kwa karne hii ya 21 sidhani kama bao tunatakiwa kukumbatia mila na destury za aina hii, sio kwa wakrya tu hata kwa makabila mengine. Hata sisi pia makabila yetu yalikuwa na mila za aina hiyo ila kwa sasa wanajamii wameelimika na wameshachana na mila hizo.
Kwa mtindo huu, familia hii haitajikomboa kutoka katika utumwa wa fikra potofu na maendeleo kwao utakuwa ni msamiati kizazi hadi kizazi.
wewe dada hujui kuheshimu mume ndio maana mnaolewa siku 2 mnaachika sasa ww umekaa na mtu miaka yote hiyo bado ulikua hujagundua kwamba hafai leo unakuja hapa kwa sentiments za tribalism...we tuache bana rudisha mtoto wetu tambaa mbele...kwanzandoa ni kati yako na mumeo, sio mama mkwe na pili wewe mwenyewe unasema kabila hili halijastarabika, sisi wakurya hatuna majungu wala uchawi, ndio maana kunatofauti ya maisha ya pwani na Mara, pale tukikosana ni tifu yanaisha nyie waswahili mpk kutoana mishipa na maneno kibao..sasa heshimu mume halafu tulia akuoe usilete hasira za kuahirishwa kwa harusi unakuja kutuandama kabila zima!!!
Mind u...Every General rule has got its exception.....