Kwa nini JK huwa hafanyi ziara huko Visiwani?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Haikumbukwi ni lini mara ya mwisho JK alikwenda Visiwani kama ziara ya kutembelea maeneo yaliyo chini ya utawala wake. Kwa nini anaogopa kwenda Visiwani?
 
Aende Zanzibar kufanya nini? Hawezi kwenda kwa sababu haku mabembea wala magari ya farasi. Pia kaambiwa hakuna watengeneza jezi!
 
Haikumbukwi ni lini mara ya mwisho JK alikwenda Visiwani kama ziara ya kutembelea maeneo yaliyo chini ya utawala wake. Kwa nini anaogopa kwenda Visiwani?
Mkuu, sina uhakika iwapo JK anatawala Znz vile vile. Hii ni kwa sababu hafanyi uteuzi wowote unaoihusu znz ukianzia wakuu wa mikoa, wilaya, mawaziri nk. Hivyo hana sababu ya kwenda huko maana hakuna yeyote atakayemtetemekea.
 
Uko sawa Binti. Pia hatoi amri za kudhibiti vurugu huko Zenji kama alivyokuwa anafanya Rais Mkapa. We miss your LEADERSHIP in times of crisis like this time, BWM!
Kuh kutotetemekewa, JK hafanyi lolote la kustahiki kutetemekewa huko Zenji. Mwoga. Dhaifu.
 
Mkuu, sina uhakika iwapo JK anatawala Znz vile vile. Hii ni kwa sababu hafanyi uteuzi wowote unaoihusu znz ukianzia wakuu wa mikoa, wilaya, mawaziri nk. Hivyo hana sababu ya kwenda huko maana hakuna yeyote atakayemtetemekea.

JK anatawala Zanzibar kupitia" indirect rule". JK ni mwenyekiti wa CCM. Nani awe Rais wa Zanzibar ni maamuzi ya CCM.
CCM kwa kawaida wanachakachua chaguzi na kumsimika mtu wao. Kwa hiyo, Dr. Shein anatawala Zanzibar kwa niaba ya CCM na anawajibika kwa mwenyekiti wa chama chake.

Mambo ya utawala wa nchi yetu ni kiini macho tu. Kwa kukosa udadisi, wengi wetu hatuelewikuwa Tanzania ni nchi ya kusadikika.
 
Mkuu, sina uhakika iwapo JK anatawala Znz vile vile. Hii ni kwa sababu hafanyi uteuzi wowote unaoihusu znz ukianzia wakuu wa mikoa, wilaya, mawaziri nk. Hivyo hana sababu ya kwenda huko maana hakuna yeyote atakayemtetemekea.

Nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom