Kwa nini JK haendi nchi za Asia na Arabuni?

Status
Not open for further replies.
May 9, 2012
59
15
ingependeza akawa anaenda sana nchi za Asia akawatembelee South East Asia, India, China, Russia na kadhalika ili kuwepo balance of power. Si nchi imehodhiwa na nchi za west.
 
Waarabu hawana utamaduni wa kusaidia watu wasio kama wao. Kwasababu safari nyingi ni za omba omba hawzi kwenda uarabuni kwni hawatoi kitu zaidi ya chai na msaada wa kujenga misikiti!! Norway nchi ndoto inasaidia kuliko Saudi Arabia, Japan inasaidia Tanzania kuliko Saudi, UAE combined. Umewahi kusikia lini msaada wa budget kutoka Saudi, Oman au UAE ??? Tanzania bado inatgemea misaada na JK anaendaka kusanya
 
zomba umemsikia huyu asiyesadifika na wala kusarifika!!
 
Last edited by a moderator:
Ulaya waliwachukua mababu zetu kama watumwa ila leo tunawaona akina 50 cent,black americans kibao,,lakini waliochukuliwa na waarabu mbona hatuwaoni?ama na wenyewe waligeuka waarabu?

Yawezekana walitishwa kula jambia la kiuno endapo wangethubutu kumgusa mtoto/mke ya mwarabu.
Au pengine walifanyiwa mambo ya kimombasa ndio maana hawakuzaliana( natania jamani)
Waafrika wengi walio chukuliwa na waarabu, waliuzwa kwa wazungu.
 
Haendi huko kwa sababu hao jamaa hawajawekeza kwenye migodi ya madini 1 kwa 1 pia hawana mchango wa maana sana kwenye bajeti ya kimaskini.
 
Mi sijamsikia kaenda irak au kwa libya,au huko hamna vitoroli vya farasi?
 
Waarabu hawana utamaduni wa kusaidia watu wasio kama wao. Kwasababu safari nyingi ni za omba omba hawzi kwenda uarabuni kwni hawatoi kitu zaidi ya chai na msaada wa kujenga misikiti!! Norway nchi ndoto inasaidia kuliko Saudi Arabia, Japan inasaidia Tanzania kuliko Saudi, UAE combined. Umewahi kusikia lini msaada wa budget kutoka Saudi, Oman au UAE ??? Tanzania bado inatgemea misaada na JK anaendaka kusanya

Misaada ya bajeti! Hata ingelikuwa mimi nisingetoa. Miaka 50 ya uhuru bajeti yetu 60% hatujui tutaipata wapi! Twashindw na Rwanda tangu 1994 hadi leo imeweza kukata misaada ya bajeti na sasa inahitajia 3% tu! Ndio maana tunawauzia Waarabu maeneo ya kuwinda, na dhahabu, Tanzanite,gas haitusaidii chochote kwa sababu inabidi tuwaridishe wanaotupa misaada: ukila lazima uliwe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom