Elections 2010 Kwa nini JK anaogopa kuzungumzia ufisadi katika kampeni zake?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Tangu aanze kampeni, sijamsikia JK kuzungumzia kwa kina, bila ya kigugumizi, uovu wa ufisadi na jinsi atakavyopigana na kansa hiyo iliyoenea katika serikali yake na jamii pia.

Jee haoni kama hili ni tatizo kubwa – hasa ikizingatiwa kwamba ni suala ambalo linamtishia yeye na chama chake kung’oka madarakani na ndo maana ameamua hakuna kulala? Haoni kinachomletea upinzani mkubwa miongoni mwa wapiga kura ni ufisadi? Anaogopa kwa nini?

Jamaa huyu ananishangaza kweli kweli!!
 
This guy is a big joke, yaani unajua mimi nashindwa kuelewa hata wanaomwamini ni kwa misingi ipi? Heleweki anasimamia nini, anaogopa debate, anaogopa hata kutja tu neno ufisadi and yet anatoa tu miahadi amabayo hata kama atajaribu kufanya hela zitaliwa as usual na kwa sababu walaji ndiyo wachangiajai wa kampeni yake............... basi itakuwa kama ilivyokuwa

Point to note:

" Ni wapi na lini raisi serious kwenye masuala ya rushwa na ufisadi anakuwa rafiki wa wafanya biasahara woote ndani ya nchi, wafanyabiashara wa aina tulionao hapo bongo"
 
Tangu aanze kampeni, sijamsikia JK kuzungumzia kwa kina, bila ya kigugumizi, uovu wa ufisadi na jinsi atakavyopigana na kansa hiyo iliyoenea katika serikali yake na jamii pia.

Jee haoni kama hili ni tatizo kubwa – hasa ikizingatiwa kwamba ni suala ambalo linamtishia yeye na chama chake kung'oka madarakani na ndo maana ameamua hakuna kulala? Haoni kinachomletea upinzani mkubwa miongoni mwa wapiga kura ni ufisadi? Anaogopa kwa nini?

Jamaa huyu ananishangaza kweli kweli!!

Kuna kikundi cha Wahindi wanne ambao wamemwambia asithubutu kabisa kugusia ufisadi kujinadi katika kampeni zake!! JK is the most amazing character to be found in the politics in the country's history!!! Add Makamba and Kinana and you have a real wonderful recipe for the countryt's doomsday!!!!
 
hawei kuzungumzia hilo kwa kuwa anatambua fika kuwa yeye ni zao la ufisadi wa EPA 2005..hawezi kuzingumza hata iweje...
 
Jk ndo mana anapendwa na wale walioko kimaslahi, ni wakala wa ufisadi, yaani huyu jamaa hafai kabisa
 
Tangu aanze kampeni, sijamsikia JK kuzungumzia kwa kina, bila ya kigugumizi, uovu wa ufisadi na jinsi atakavyopigana na kansa hiyo iliyoenea katika serikali yake na jamii pia.

Jee haoni kama hili ni tatizo kubwa – hasa ikizingatiwa kwamba ni suala ambalo linamtishia yeye na chama chake kung'oka madarakani na ndo maana ameamua hakuna kulala? Haoni kinachomletea upinzani mkubwa miongoni mwa wapiga kura ni ufisadi? Anaogopa kwa nini?

Jamaa huyu ananishangaza kweli kweli!!
Siyo kuwa anakwepa kuzungumzia ufisadi tu bali hata kutaja neno RUSHWA kwenye kampeni zake hawezi neno ambalo lilikuwa wimbo wao enzi za CCM ya Nyerere Haki adui wa rushwa nk..
 
kWAKUWA NDIYE MKUU WA LINE ZOTE ZA KUIBA FEDHA, ATASEMA NINI?
 
jk ashakuwa mfanyabiashara,yy mwenyewe aliwahi kuwaambia mafisadi wenzie wachague siasa au biashara,lakini yy ikamshinda siasa akaamua kuwa mfanya biashara fisadi,hivyo hawezi zungumzia ufisadi kamwe,kama kuna siku ktk kampen zake za kuomba kura aliwah kutamka neno 'fisadi' au 'rushwa' ? mwanajf yeyote athibitishe hili.
 
Hili swali lako mbona jibu liko wazi, uliza jingine!!! Usimdanganye mwenzio
 
Je umewahi sikia shek yaha amesema ataua wanga wote? Ujue hata sikumoja chui hamui paka wala simba haui mbwa wote ni wala nyama,fisi anaua mbwa ananjaa sn anamtindio wa ubongo lkn wenye meno makali wanajuana wanalindana, mara kawa mkuu wa wilaya lindi mala nachingwea,jk hawezi kabisa anatakiwa akae kando aone wagosi wanavyofanya vitu vyao kuikomboa nchi, tz ni yakwazna duniani kwa kuwa na vyanzo vyote vya uchumi lkn uongozi'' met na doi'' hakuna wamekuwa wa nigeria kila waziri anachukua haraka haraka,
genge la majambazi hulidana hata kama mmoja akishikwa hawataji wenzake anajifanya ni bubu au kapigwa sn hawezi ongea lolote, ' hili panga la zamanimakali haya ishi ''shame on y you na mapanga yako yenye kutu.
Go tu hell.
 
Hazungumzii kwa maneno,ila anazungumza kwa vitendo ambavyo vinaonesha kabisa kua ana sera ya kuwaunga mkono mafisadi na vitendo vya rushwa kwa ujumla
 
Wamfahamu ndege anaitwa CHICHIDODO huko Afrika Magharibi? Anajifanya anachukia sana kinyesi lakini anakula mafunza yanayotoka kwenye kinyesi!!! JK alitamba kuchukia na kushughulikia mafisadi lakini anakula pesa zao! Atasema nini tena juu ya ufisadi. Huenda ilani ya ccm ime-delete msamiati huo.
 
It's only in Tanzania where the president is offered a party on his birthday by mafisadi
 
Hawezi zungumza ufisadi wakati nae ni fisadi, kawasafisha wenzake wote Lowasa, Rostam, Mramba, Chenge na wengine wengi.
Ni kumpiga chini tu huyu jamaa, wataimaliza nchio yetu hamuoni wadau?????????????????.

Dr. Slaa Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
.... Kwa nini JK anaogopa kuzungumzia ufisadi katika kampeni zake?

..... na Kwa nini Jk anaogopa midahalo?

[[ Hatukuwa na Rais kwa miaka mitano inayoishia - Mwoga, asiyejiamini. We need a president ]]:dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
We shit!!!!!!!!!, anaogopa kuanguka kama gunia la maharage, kwani wadau hamjui kuwa amesha tutia aibu wa TZ, as if wote ni waangukaji! make akianguka tena, basi hata hizo asilimia zinazo chongwa, hazitakuwepo tena.
 
Siyo kuwa anakwepa kuzungumzia ufisadi tu bali hata kutaja neno RUSHWA kwenye kampeni zake hawezi neno ambalo lilikuwa wimbo wao enzi za CCM ya Nyerere Haki adui wa rushwa nk..

hapo kwenye blue pasomeke ''rushwa ni adui wa haki''
 
Tangu aanze kampeni, sijamsikia JK kuzungumzia kwa kina, bila ya kigugumizi, uovu wa ufisadi na jinsi atakavyopigana na kansa hiyo iliyoenea katika serikali yake na jamii pia.

Jee haoni kama hili ni tatizo kubwa – hasa ikizingatiwa kwamba ni suala ambalo linamtishia yeye na chama chake kung'oka madarakani na ndo maana ameamua hakuna kulala? Haoni kinachomletea upinzani mkubwa miongoni mwa wapiga kura ni ufisadi? Anaogopa kwa nini?

Jamaa huyu ananishangaza kweli kweli!!

Hawezi kuuzungumzia ufisadi namna ya kuutokomeza kwa sababu CCM sasa ni Chama Cha Mafisadi badala ya Chama Cha Mapinduzi
 
Back
Top Bottom