Kwa nini JK anachelewai kuchukua hatua, anasubibiri wateule wake watemewe mate adharani!

theophilius

Senior Member
Nov 19, 2010
150
54
Mpaka sasa najiuliza Rais wetu anasubili nini, kumchukulia hatua Jairi, Ngereja, Luhanjo and co!

Anataka amwambie nani kwamba watu hao hawaamini tena mbele ya umma, kwani uadilifu wao wameutia mchanga wenyewe!

au, anataka aone mtu anatemewa mate adharani ndiyo ajue kwamba mtu amechokwa!

kwa kadiri mambo yalivyokwenda juzi bungeni na mitaani (kama bado wale mashushu bado wanafanya kazi zao) basi inahitajika akili 'za kiuwendawazimu' kupuuza wito wa kuwachukulia hatua, vinara hao wa ufisadi, ambao hata aibu hawana. hata kama ni kaka, mjomba au rafiki wa damu lazima hatua zichukuliwe, vinginevyo kama zengwe lilivyokua na kuenea hadi kuwatumbukiaza akita Utto na Luhanjo, linaweza kuwasakama wengine... hadi Rais mwenyewe jambo ambalo sitaki kulifikiria

"P'se President chukua hatua tena haraka, ukisubiri shinikizo utajua mwenyewe maana shinikizo litakalofuata ni kukutaka hata wewe uachie ngazi"
 
kuchelewa kuchua hatua ndiko kulikoifikisha hapa serikali na CCM, hata pale hatua zinapochukuliwa kwa kuchelewa matokeo yake kunakuwa hakuna impact inayostahili
 
Can you chop off your eye because it led you to thieving?
Can one chop off his d.i.c.k because it was involved in adultery?
Mwacheni Kikwete.
Hakuna hatua ya kuchukua.
Hatua hazichukuliki!
 
kwani raisi si alisha msimamamisha jairo kazi? sasa mnataka nini tena hamuoni the stakes are too high? here jairo anatosha na hatujui cc inajadili nini sasa ( nime waadmire wa misri ile mbaya na nafikiri watu wengine wanavyosema ustaarabu ulianzia hapo we acha tu)
kingine ni hivi kama raisi alishaweka watu wake ofisini kwake, ni wapi bunge linakuja na kamati zake za maaalumu zinakuwa na ubavu kushinda yeye? so yale ukifuatilia ni mapendekezo tu ya kamati za maalum kazi yake ni kupendekeza so the presidaaa ana uwezo mkubwa wa kuafikiana nazo or hapana(we have to change the bloody thing called the katiba otherwise kuna siku anakuja kuwa raisi kama mimi we are all ****ed up ) kwa kifupi sakata la jairo limeisha kama lilivyoisha la richmond ikazaliwa bloody simbyon

what a crap country........... sory lovely country
 
Back
Top Bottom