Kwa nini JK amempa heshima ya hali ya juu Rais wa Somalia?

HansMaja

Senior Member
Nov 9, 2010
102
114
Huyu jamaa wa Somalia ninvyojua hakubaliki sana nchini kwake na ni kama Rais kivuli. Mbona JK kampa heshima sana kwa mapokezi ya kitaifa ....nk
 
Maadam ni Rais na anatambulika kimataifa na duniani kwa ujumla anastahiki kupatiwa heshima yake wacha wivu
 
unajua tunajitakia matatizo tu na alshabab ..kujitanua tanua kifua huku ndo kuliwa cost waganda siku ya fainali ya kombe la dunia...
 
Somalia inahitaji uungwaji mkono hasa wa waafrika wenyewe. Tuwe tayari kuisaidia.
 
simple wetu anasifia kila kitu isipokuwa kama kina uchadema then ni mwiba wa pilipili kwake
 
Kabla ya Rais wa Somalia kuwasili wakakumbuka asubuhi ile ile kwamba hakuna balozi wa Somalia Tanzania, ikabidi msomali mmoja avalishwe suti fasta akaenda kujitambulisha Ikulu kama balozi mpya wa Somalia Dar-es-Salaam. That was real ghetto...
IMG_8905.jpg
 
Kabla ya Rais wa Somalia kuwasili wakakumbuka asubuhi ile ile kwamba hakuna balozi wa Somalia Tanzania, ikabidi msomali mmoja avalishwe suti fasta akaenda kujitambulisha Ikulu kama balozi mpya wa Somalia Dar-es-Salaam. That was real ghetto...
IMG_8905.jpg

mmmhhhh!!!! so comfused aaaaaaggrrrhh!!!
 
Kikwete linapokuja swala la kuandaa sherehe huwa hana mzaha. Inaletwa hadi ngoma ya asilikutoka msoga.
 
unajua tunajitakia matatizo tu na alshabab ..kujitanua tanua kifua huku ndo kuliwa cost waganda siku ya fainali ya kombe la dunia...

yani mkuu kama ulikuwa mawazoni mwangu... JK neeed to back off na somalian issues ,,,,
 
Maadam ni Rais na anatambulika kimataifa na duniani kwa ujumla anastahiki kupatiwa heshima yake wacha wivu

kwa jinsi ninavyokumbuka ni kwamba siku chache zilizopita ben membe alisema somalia hakuna serikali sasa huyu rais katoka wapi?
 
Na kweli lakini mbona ajaondoka nao hawa Wazamiaji >>> Wabaya kama nini hawa Wasomali siwapendi. Si nani nani pia ni Msomali kanajidai Mtanzania wakati Uhamiaji wamehakikisha kweli ni Msomali na anachochote cha wazazi wake kwenye record ... Kuna siku tuu. Watoto wetu wamemezua na hawa watu ndani ya Serikarli --- Kuna siku inakuja. They sho uld start packing up their dirty linen before it is too late. Uhamiaji yenyewe ni CHAFU kabisa ma deals kibao hasa kwa hawa MAPONJORO WAHINDI
 
jk anakomba kwa sababu ni Mbarakashe mwenzake. Alafu nashanga kwa nini huyo Rais wa Somalia ajaondoka na wazamiaji wake hapa kwetu >>>> Alafu nani nani si ni Msomali >>> Issue yake ya Uhamiaji wakiti ule imefikia wapi ??? Naona record yake kusema mama na Baba blabla ajaonekani kabisa Uhamiaji. Wanatusumbua tuu na kutuzibia pumzi watoto wetu. Dawa yao iko jikoni inachemuka. They better start packing their dirty linen before it is too late.

Uhamiaji pia inanuka Rushwa ya WAHINDI MAPONJORO. Mapassport kibao INDIA LONDON US CANADA sijui Serikali inasemaje kuhusu hilo issue ya Wahindi inchini ??? Passport yao nyingi inaingia inchini kwa DHL. Aisse
 
Unajuwa yule ni kibaraka wa usa, amewekwa madaraka akiwa nairobi. Jee wajuwa kuwa kuna nchi inaitwa jamhuri ya watu wa somaliland ambao zamani ilitawaliwa na muingereza, ila kwakuwa sio vibaraka wa usa kwa miaka 20 wanapigania kutambulika kimataifa. Ajabu na kweli usa na washirika wanapigania kuanzisha nchi mpya ya sudan kusini kujitenga huku wakisahau nchi ambazo zilikuwepo kwenye historia ya africa kama somaliland isitambulike kimataifa. Na sababu kubwa ni udini ambao umetawala siasa za dunia yetu.
 
Hata mi binafsi nilijiuliza, kwani alimpokea kwa nguvu na kumwaga hadi airport, huenda ana maslahi yake kwa hao wasomali.
 
Kabla ya Rais wa Somalia kuwasili wakakumbuka asubuhi ile ile kwamba hakuna balozi wa Somalia Tanzania, ikabidi msomali mmoja avalishwe suti fasta akaenda kujitambulisha Ikulu kama balozi mpya wa Somalia Dar-es-Salaam. That was real ghetto...<br />
<div align="center"><img src="http://4.bp.blogspot.com/-RfBuhgkuloo/Tag4kbAk3GI/AAAAAAAAdHc/OHY0pHfR4SA/s400/IMG_8905.jpg" border="0" alt="" /></div>
<br />
<br />
Ahahhah..niko umenifurahisha kweli..
 
Back
Top Bottom