Kwa nini JK Alishtuka na KUSHANGAA Sana PINDI Wabunge wa CHADEMA Walivyotoka Bungeni

Mkuu ule mshangao na mshtuko ulikuwa mkubwa sana, alitia huruma aisee, hakuamini macho yake.

Unajua tena viongozi wetu wamezoea kupigiwa makofi ... sasa ikitokea namna hiyo lazima iwe shock... kwake, hasa ukizingatia yeye ni wa kwanza kati ya viongozi wote waliopita kutokewa na hilo tukio ambalo limemulikwa na vyombo vya habari mpaka nje ya mipaka.
Upande mwingine JK aichukulie hii kama challenge maana hao wameamua kumfikishia malalamiko yao waziwazi tofauti na mipinzanii ndani ya sisiem ambayo ilikuwa ikishangilia huku ikijua haikubaliani na mambo yake
 
Ukiangalia kwa makini utaona kuna wabunge wa SiSieM waLiokuwa wanagipa meza (muswada wa chadema kumsusia rais umepita) huku wakiwaonyeshea alama za (DOLE GUMBA - KUKUBALIANA NA KITENDO CHA CHADEMA) na walikuwa na tabasabu usoni, hii inaashiria hata miongoni mwa wabunge wa SiSieM wapo waliopenda kitendo kile.

Hapa kuna somo kubwa sana, mjomba ukirudi dar omba ile clip then iangalie vizuri utajua hata wa kambi yako si wenzako, jaribu kuangalia upigaji wa meza, tabasabu za bashasha na madole gumba juu.
 
in short hakutegemea wala hakuamini macho yake kama inatokea in real sense
 
Alilifahamu lakini si amezoea wadanganyika ni mabwege hawana ubavu wa kufanya lolote.... hahahhah kumbe alijidanganya na bado mpaka miaka mitano iishe jasho litamtoka atajaza ndoo kumi na mbili kwa hesabu za haraka haraka. CCM mna nguvu ya dola CHADEMA wana nguvu ya watu sasa tuone. Mimi napata raha sana hawa watu wakisosa usingizi ona huyu mwingine anaitwa chiligati whatever the name is anatuletea vitisho na habari zake za kisungura
 
Ni kweli Jk alionekana kushtuka sana, na ikabidi Madam Speaker aende kwenye mic na kusema haya "jamani tunaendelea" ila kwa wengine kushangilia na wengine kuzomea na wengila kama EL kukaa kimya haikueleweka wabunge wa CCM walijisikiaje, ila kituko ni pale wabunge wa vile vyama vingine kuhama viti vyao na kwenda kukaa vya wenzao, pale walivunja protokali na Speaker alipaswa kuwakumbusha kuwa kule mjengoni kila mtu na kiti chake, kama hayupo basi kibaki wazi.
 
Mzungu mmoja muwindaji alikuwa na tabia ya kuweka Vichwa, Ngozi au Miili ya Wanyama/ndege aliowauwa kwenye kuta za nyumba yake kama kuonysha ukali wake wa kuwinda na kuuwa wanyama wengi duniani.

Siku moja alitembelewa na rafiki yake na akaanza kumuonyesha hizo trophy zake ukutani. na ghafla wakafika sehemu na mgeni akasimama na kuanza kuangalia vizuri na mwisho akashindwa kujiuza na kuanza maswali:

Mgeni: Huyu naona ni mtu na tena Mwanamke wa makamu, ni nani huyu?
Muwindani: Ni Mama Mkwe wangu.

Mgeni: Na yeye ulimuuwa?
Muwindani: Ndiyo nilimuuwa.

Mgeni: Sasa mbona anacheka?
Muwindaji (Chadema): Alifikiri ninatania.
 
nachokoza kidogo na hii off topic; hivi huyu anayetaka kuitwa rais wa kuchakachua, ameshawahi kuandika kitabu chochote? Kama bado kitabu chake kitahusu tukio la chadema*wabunge* kususia hotuba yake.
Hah hah hahaaaa.
 
they hurt his feelings so bad oh poor jokeri kikweche he cant stand people who dont adore him
 
Kitakachofuata sasa akiwaona tu wabunge wa chadema ndani ni kupata mstuko wa karne, I hope hao wapambe wake wamejiandaa kumpokea akidondoka chini, kama wakati wa kampeni alianguka due to nervousness maana he is aware chadema kiboko chake; sasa wakati huu sijui kama mjamaa atainuka!!!Duh, kuchakachua jamani kuna gharama yake pia. Lazima alipe na si yeye tu na wote walioshiriki na wanaoshiriki kumpiga debe hata sasa. Jamani, hata dalili hamzioni? Jamani ebu tusome hili ambao Philosopher aliambia wa kale na anatuambia hata wa leo.Check hasa hiyo with red...

Everything Has Its Time: Eccl 3:1ff


1 For everything there is a season, and a time for every matter under heaven:
2 a time to be born, and a time to die;
a time to plant, and a time to pluck up what is planted;
3 a time to kill, and a time to heal;
a time to break down, and a time to build up;
4 a time to weep, and a time to laugh;
a time to mourn, and a time to dance;
5 a time to throw away stones, and a time to gather stones together;
a time to embrace, and a time to refrain from embracing;
6 a time to seek, and a time to lose;
a time to keep, and a time to throw away;
7 a time to tear, and a time to sew;
a time to keep silence, and a time to speak;
8 a time to love, and a time to hate;
a time for war, and a time for peace.
 
nachokoza kidogo na hii off topic; hivi huyu anayetaka kuitwa rais wa kuchakachua, ameshawahi kuandika kitabu chochote? Kama bado kitabu chake kitahusu tukio la chadema*wabunge* kususia hotuba yake.
Hah hah hahaaaa.

wewe jee umeandika kitabu cho chote?
 
zamani tulikuwa tunamuona raisi kama MUNGU hzo enzi haziko tena siasa imeshakuwa hapa TZ na hyo ni traler mazee sipati picha vikao wanavokaa ccm sasa hv wanajadili nini

aaah! siy sasa bwana, kama hana heshima kwa wananchi anadhani nani wa kumona kama kitu labda msata na chalinze
 
Ndugu zangu,


Nilipita Dodoma siku mbili kabla ya JK kuhutubia Bunge. Nilizisikia, fununu za uwezekano wa kutokea kwa tukio lile.


Juzi limetokea, Wabunge wa CHADEMA kutoka nje ya ukumbi wa Bunge, mbele ya Rais wa nchi, mbele ya wawakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa, Mabalozi na wengineo. Si habari mpya sana, ilitarajiwa, kwa jinsi mambo yanavyokwenda sasa. Tutayaona mengi mengine.


Baada ya tukio lile nilitarajia Rais angesonga mbele na hotuba yake bila kugusia jambo lile. Hilo la mwisho lingewasumbua sana CHADEMA. Hapana, Rais akagusia tendo lile. Katika nchi, Rais ni mmoja, lakini, kazi ya Urais ni ya wengi. Najiuliza, je, wasaidizi wake hawajua kabla kwamba lililotokea lingeweza kutokea ? Kama walilijua, basi, wangemsaidia Mkuu wa Nchi na kama hawakulijua, nalo ni tatizo.


Nani mshindi?
Katika siasa, lililotokea Dodoma ni sehemu ya mapambano ya kisiasa katika mfumo wa vyama vingi. Chama tawala hakina sababu ya kuogopa. Kianze sasa kuyazoea mazingira haya mapya. Tunachokiona ni mchezo wa kisiasa ambao, kama mechi ya mpira, unahitaji team work na wachezaji mahiri katika kufanikisha ushindi. Maana, tukio lile, kwa wakati huu, limeliongezea ponti kadhaa za kisiasa CHADEMA.


Watanzania wamelifuatilia, Jumuiya ya Kimataifa imelifuatilia. Ajenda ya haja ya uwepo wa Katiba Mpya imeharakishwa kufikishwa kwa umma katika kasi ambayo haikufikiriwa. Watu wanajadili. Ni ajenda ya umma kwa sasa, CCM wakibaki nyuma, CHADEMA wataonekana kwa umma ndio wenye dhamira ya kweli ya kuwasaidia.

Naam. Katika dakika hizi za mchezo huu wa kisiasa, CCM imerudishwa nyuma kwenye lango lake, wanajihami. Na kuna wanaojiuliza nani mshindi? Mchezo bado unaendelea, tusubiri tuone!


Maggid
Arusha,
Novemba 20, 2010

http://mjengwa.blogspot.com
 
Maggid leo umeongea siasa na wala siyo unaz nimependa artcle yako nikweli kuna watu hawataki kubadilika wanawaona wenzao wapinzani kama wahaini CCM inabidi wajue wapo kwenye ligi siyo kama wapo kwenye mazoezi ya team moja mnatengeneza team pinzani no! Nitimu mbili tofauti nawakati wakushambuliana ndo huu na zifuatwe kanuni zinazo ongoza michezo hii na sivinginevyo na zaidi itazamwe upya katiba ya nchi ili iende bawakati tulionao sasa.
 
MAGGID UMEKUA NA UMEPATA AKILI
PUT MIND THAT THIS IS 21'century people are after real changes and not lies.
 
Big up mjengwa haya ndio mawazo tunayotaka watu wasione upizani ni uhaini ccm wajipange waangalie ttz nini!
 
Back
Top Bottom