Kwanini JF?

Nakumbuka nilikuwa natafuta unlock code ya nokia yangu then google ikanipa link ya jf ambayo niliweza kupata solution ila kilichosababisha nijiunge nilikuta mtu anataka support ya serial number fulani ambazo nilikuwa nazo hivyo nilifanya registration ili kuweka post yangu na uzuri wa jf ni kuwa ukijisahau kidogo lazima upate mail. siku hizi lazima nifike humu daily... i love jf!

Never give up like your name indicates... hio ilikufanya uwe member... inapendeza....

Thank you for sharing...:A S-rose:
 
Code:
Hio ilinipush  ni google kutaka nijue ni kitu gani, [COLOR=red]then nikaenda moja kwa moja kwenye  International forum ambapo nilikutana na thread ambayo nilitaka saana  nichangie sababu nilikua against na mtu alokua ametuma hio Thread (in  fact alikua Rutashubanyuma) who ironically turned out to be one of my  friends sasa… I had to register hapo hapo! [/COLOR]
I am very proud to be one of your friends..................sikujua kumbe nina kamchango kidogo kwenye hilo......................well it is a pleasure kuwa kwenye nafasi hiyo ya kutoa changamoto....................................ukweli ninaafiki hoja zote za Asha D...................magazeti ya kawaida hayatoi nafasi kwa kila mtu kuongea aonavyo yanatawaliwa na wamiliki ambao wana ajenda zao za siri za kukuza masilahi yao kwa kuwafurahisha watawala.........lakini hapa JF.....it is all about what you think and willing to share.....................hakuna censorship...........................labda ujitakie mwenyewe na hata wakikuonea you can complain and they do listen...................................Malaria Sugu is a good example..........................he was banned for life but he is back.............................and kicking out his grumblings.........................about udini and ccm and nobody cares a hoot anymore..................it is a free World constrained by our love for one another...............................
 
Partner me waiting for your sababu... bado unatafuta post ilo ku inspire??? Kuhusu CPU worry not i kno what he is doing na it is not harmful!
Owwwkey!
Nilijiunga may 09 nadhani...nikachangia kizushi mpaka july 09 then nikaachana JF mpaka april 10 sijui nilikua nachungulia nini nikakutana na thread ya ‘The truth about beauty peagents‘ nikachangia kidogo ila iliyonitoa povu ni moja hivi ilikua inasema kwamba watoto wasiolelewa na baba zao hua wanakua kua anti-social!Nakumbuka nilibishana na mshkaji mpaka basi...sasa ndo nikaona owkey ngoja niangalie kama kuna mwingine anaeleta assumption za ajabu ajabu nipambane nae..MPAKA LEO NIPO!
 
mim nlikua nagoogle mambo ya kilimo,ndo nikajikuta naangukia humu ktk jukwaa la kilimo,sbb iliyonifanya nijiunge ni ile thread ya ufugaji wa kuku na ile topic ya mtaji wa milioni kumi,leo hii hata nikitaka kumsaidia mtu simsaidii tu kwa mtaji bali namshauri na aina za biashara anazoweza kufanya kulingana na kiasi kilichopo.
 
Hongera Asha kwa post yako,mi binafsi nilikuwa natembelea humu-kama guest kwa miaka yapata 4 toka jamaa yangu mmoja tulikuwa nae chuo miaka hiyo kunieleza kuhusu JF.Nikijishauri sana kujiunga mpaka nilivyofanya hivyo miezi 2 na ushee iliyopita.Kwa kweli kuna mengi mazuri sana humu jamvini.
 
Code:
Hio ilinipush  ni google kutaka nijue ni kitu gani, [COLOR=red]then nikaenda moja kwa moja kwenye  International forum ambapo nilikutana na thread ambayo nilitaka saana  nichangie sababu nilikua against na mtu alokua ametuma hio Thread (in  fact alikua Rutashubanyuma) who ironically turned out to be one of my  friends sasa… I had to register hapo hapo! [/COLOR]
I am very proud to be one of your friends..................sikujua kumbe nina kamchango kidogo kwenye hilo......................well it is a pleasure kuwa kwenye nafasi hiyo ya kutoa changamoto....................................ukweli ninaafiki hoja zote za Asha D...................magazeti ya kawaida hayatoi nafasi kwa kila mtu kuongea aonavyo yanatawaliwa na wamiliki ambao wana ajenda zao za siri za kukuza masilahi yao kwa kuwafurahisha watawala.........lakini hapa JF.....it is all about what you think and willing to share.....................hakuna censorship...........................labda ujitakie mwenyewe na hata wakikuonea you can complain and they do listen...................................Malaria Sugu is a good example..........................he was banned for life but he is back.............................and kicking out his grumblings.........................about udini and ccm and nobody cares a hoot anymore..................it is a free World constrained by our love for one another...............................

I am glad you know ni moja ya sababu.... I agree with all you say about JF,
you learn more than if you only concentrate on the usual media.. and love
hiyo statement of not caring a hoot anymore... finally a person tunashare
hiyo... nikienda jukwaa la siasa i only read sigusi la dini sitaki ninuse najua
harufu ni mbaya... Enaways....

Thank you for sharing...
 
Owwwkey!
Nilijiunga may 09 nadhani...nikachangia kizushi mpaka july 09 then nikaachana JF mpaka april 10 sijui nilikua nachungulia nini nikakutana na thread ya ‘The truth about beauty peagents‘ nikachangia kidogo ila iliyonitoa povu ni moja hivi ilikua inasema kwamba watoto wasiolelewa na baba zao hua wanakua kua anti-social!Nakumbuka nilibishana na mshkaji mpaka basi...sasa ndo nikaona owkey ngoja niangalie kama kuna mwingine anaeleta assumption za ajabu ajabu nipambane nae..MPAKA LEO NIPO!

Finally nimepata the concrete reason... Thank you Partner me proud of you
a JF living legend indeed!...

Thank you for sharing...
 
mim nlikua nagoogle mambo ya kilimo,ndo nikajikuta naangukia humu ktk jukwaa la kilimo,sbb iliyonifanya nijiunge ni ile thread ya ufugaji wa kuku na ile topic ya mtaji wa milioni kumi,leo hii hata nikitaka kumsaidia mtu simsaidii tu kwa mtaji bali namshauri na aina za biashara anazoweza kufanya kulingana na kiasi kilichopo.

Mimi very proud we are both members na post zako hunifurahisha
(achilia kwanza Avatar.. am a woman na bado mpaka niangalie hapo ndo nisome post...lol)

Cheusimangala Thank you for sharing....
 
Hongera Asha kwa post yako,mi binafsi nilikuwa natembelea humu-kama guest kwa miaka yapata 4 toka jamaa yangu mmoja tulikuwa nae chuo miaka hiyo kunieleza kuhusu JF.Nikijishauri sana kujiunga mpaka nilivyofanya hivyo miezi 2 na ushee iliyopita.Kwa kweli kuna mengi mazuri sana humu jamvini.

Ulimkafu hio kali four years, naona wewe ulikua member tayari ila silent bado tu registration.
Asante sana kwa kufurahia huu uzi... be blessed

Thank you for sharing...
 
Nilijua ipo, kuingia kwangu kulitokana na upweke niliokuwa nao nikiwa huko maporini (Mpanda-Rukwa). Nikasukumika kuingia na mpaka leo sibanduki humu.

Nashukuru Mungu sijawahi kukutana na mtu humu ila HESHIMA na UPENDO vinachukua nafasi yake. Mungu Ibariki JF na watu wake.

AMEN

????????

Sorry kama ni matatizo ya uzee!!!

Mzee DC
 
Nilijua ipo, kuingia kwangu kulitokana na upweke niliokuwa nao nikiwa huko maporini (Mpanda-Rukwa). Nikasukumika kuingia na mpaka leo sibanduki humu.

Nashukuru Mungu sijawahi kukutana na mtu humu ila HESHIMA na UPENDO vinachukua nafasi yake. Mungu Ibariki JF na watu wake.

AMEN

Mshikaji mbona hujibu PM za Mchungaji? .......:A S-rose:
 
Nilikuwa namGoogle michelle obama mara ghafla katokea michelle wa JF anajibizana na Uporoto. Khaaa! mwengine aendeleze huu mkasa uliishiaje
 
Asha,awali ya yote ngoja kwanza nikumwagie misifa mitatu muhimu:
1. Unajituma. Kukandamiza mi post zaidi ya alfu mbili ndani ya siku 45 si mchezo mwanawane.Wengine tuko humu toka 2008 hata post alfu moja hatuna.
2. Unathamini mamemba. Siku 45 umemwaga mi senks zaidi ya mia nne,si haba.Mi likes ndo usiseme,kwa niaba ya ma memba wenzangu woooooote pokea li senks na li likes hilooooooooo mmmmwwwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
3. U msikivu. Iko siku niliku PM nikakushauri kitu na kwa unyenyekevu ukafuata ushauri wangu,wakati na ku PM nilidhani ungenibararusha si unajua tena mambo ya 'kupotezea'?
Ndugu Asha baada ya utangulizi huo naomba nirejee kwenye mada. Nakumbuka kuna siku nilikuwa napata supu asubuhi maeneo ya Kinondoni. Kipindi hicho ndo issue ya ufisadi wa meremeta imepamba moto.Basi bwana mmoja hapo kijiweni akawa anamsifia mtu anaitwa Mwanakijiji kuwa huyo jamaa kwa kuporomosha mabomu Lyatonga Mrema cha mtoto.Nikamuuliza Mwanakijiji ni nani?,akanishangaa kweli na kuniuliza 'we humjui Mwanakijiji?' nikamwambia simjui,akasema ingia website inaitwa JamiiForums utakutana naye. Nikaingia na kwa kuwa lengo lilikuwa kumsoma Mwanakijiji moja kwa moja nikagota jukwaa la siasa,mwanzoni nilichangia sana tu pale hadi nilipoanza kusikia kizunguzungu nikiingia humo, nikaona mmmhhh nitadata bure ndo nikatafuta jukwaa jingine.Naomba nikiri kuwa toka niingie MMU roho yangu imekuwa bariiiidi na siku ikipita sijaingia naona ka vile ntaumwa.Nawashukuru sana wana MMU kwa michango yenu na kikubwa zaidi namshukuru..........ambaye tumefahamiana humu MMU (mambo ya PM) hadi kuuuuuuu.........
Wasalam,
Wako mwaminifu,
Bishanga Abashaija.

Ndungu yangu Bishanga Bashaija (siyo bakazi), umeongea hadi nasikia raha kila sehemu ya mwili imeitikia isipokuwa zile zenye degree za heshima!!!

Nilidhani ni mimi ipeke yangu niliyepatwa na kihindi hindi na kuona minyota kila wakati nilipotembea jukwaa la mabomu!!

Ubarikiwe sana (wakora waitu)!!!!!
 
Back
Top Bottom