Kwa nini jamani?

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
Jaman nipo mjini Moshi, imefunguliwa Nakumatt Supermarket, nimeingia humo ndani, wahudumu almost all ni Kenyans. Kwa nini? Nilitegemea wawekezaje wanapokuja moja ya masharti iwe ni ajira kwa wakazi, hii imekaaje wakuu?
 
Watanzania hatuaminiki tena. Halafu tuna visingizio vingi vya kukwepa kazi. Leo kafiwa na jirani, kesho kafiwa na mjomba wa bibi, keshokutwa kafiwa na shemeji wa babu, .........endeleza wengine
 
Njoo uchumi supermarket-quality plaza, wahudumu wengi ni wakenya. Kama hivi ndivyo basi tuanzishe vipindi redioni/tv/blogs/magazetini tuambizane ukweli kabla ya kuwa xenophobic na kuwatandika hawa wachumia tumbo.
 
Back
Top Bottom