Kwa nini haya hutokea?.

DERICK2000

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
203
35
Guys,kwa nini mvulana ama msichana akijua unampenda anaanza kuleta mbwembwe?.Yani mapozi,utakuta mtu anajua kabisa,Mary ananipenda,au John ananipenda,hapo kesi zinaanza.Wakati kabla ya kujua wanapendana wanakuwa marafiki wazuri tu,but love ikianza between them,yule atakayeanzisha kuonyesha dalili atakoma.Atapewa pozi hizo,Why that?.au haka ni kaugonjwa?.Ukipendwa,ukionyesha upendo utakufa?.Mbwembwe zinakuwa nyingi kupitiliza.Unaweza ukampigia,hapokei simu,ukimtext anajibu baada ya siku 5.Yani ilimradi usumbuke tu.Lakini before,hakunaga hayo mambo.ila ukigundulika tu.utakoma,Love is not hidden,ukipendwa pendeka.
 
Wengi hua wanapenda na kupendwa but ni wachache sana wanaelewa thamani ya upendo..na hilo ndo tatizo.
 
Derick
Hata mimi nishajiuliza hadi nimechoka. Sijui bwana ila inakatisha tamaa!
 
Imekutokea nini mzazi?

Hapana,siyo kwa sasa,ni past experiance.But naona watu wanaendelea kupata shida mpaka karne hii.kisa kagundulika tu kapendwa,na hapo hapo anaependwa nae anapenda sana.Sema vimbwembwe vya hapa na pale vinaanza.
 
Ye anafanya vile akijua hata akileta bwebwe hawezi kumwangwa coz anapendwa, hajui kama anajipunguzia thaman kwa yule anayempenda.
Guyz even me imenitokea bwana inakera sana but me nawambia ni ushamba hawajui thaman ya kupendwa
 
lt's true inaboa sana.Mwingine anakuambia nliiona text yako,but i was buzz yani.Hivi ulinitext?.wakati marafiki,anakujibu fasta hapo hapo.Mi nkiona dalili hizo.namkwepa kama ukoma.
 
Ye anafanya vile akijua hata akileta bwebwe hawezi kumwangwa coz anapendwa, hajui kama anajipunguzia thaman kwa yule anayempenda.
Guyz even me imenitokea bwana inakera sana but me nawambia ni ushamba hawajui thaman ya kupendwa

Na siyo kwamba hapendi,basi tu akuvuruge akili.Ni kweli ni ushamba.Ukishaondoka,anarudisha majeshi kama hakujua,nini kitatokea.Wakati ushampenda mwingine.
 
Na siyo kwamba hapendi,basi tu akuvuruge akili.Ni kweli ni ushamba.Ukishaondoka,anarudisha majeshi kama hakujua,nini kitatokea.Wakati ushampenda mwingine.

Ataanza kukusaka kama mnadaiana vile.Wakati pozi nyingii..kwendraaaa,yupo alone duniani.
 
apendwae akijua haachi kujishaua..............thamani ya mapenzi ni kwa yule apedwae lakin kwa anaependa ni mateso.
 
Matatizo nyie wanaume wengine mkisha penda wanawake kila wakati mko yuma yao, ndo mana wanawadharau.
 
Eti ka mie,jana akanambia 'nkuoneshe pete ya ndoa ili ujue nimeolewa?wkt najua hana mtu yeyote.watu wana mbwembwe hapa dunian jaman!
 
Kutokana na kuzungushwa-zungushwa na uigizaji wa kiswahili kama huo NIMERIDHIA KUACHA HARAKATI ZA KUPENDA. Naamini TIME WILL TELL....
 
Cjui kwanin but mim nilijikuta tu nmekuwa na mapozi kwake mpk leo! Yan naona km cko fea ila cnt help it
 
Back
Top Bottom