Kwa nini hawamtaki gaddafi?

Helo wana jf,
hivi kwa nini walibya hawamtaki huyu raisi wakati amefanya makubwa?
Mfano;
1:anatoa elimu bure,tofauti na nchi nyingi za afrika
2:anatoa huduma ya afya bure,hii ni kitendawili kwa nchi nyingi afrika
3:ana wajengea nyumba wanaotaka kuoana,wenye miaka 21...
4:anatoa mshahara kwa wasio na kazi
5:anaendesha nchi kama nyumba yake,wanataka nini cha ziada? Au ni kusema hawajajua waafrika wenzao wanavyoteseka?
Ama hawajui viongozi wengi wa afrika ni mafisadi na watu wasio jali raia wa nchi wanazoziongoza? Ama hizi taarifa za vyombo vya habari ni za uongo,nawakilisha tujadili
nyumba imekuwa na watu wengi sana-lazima kuwe na tofauti za kimawazo-then kama democracy hakuna-hata angefanyaje bado wananchi wangemkataa
 
Helo wana jf,
hivi kwa nini walibya hawamtaki huyu raisi wakati amefanya makubwa?
Mfano;
1:anatoa elimu bure,tofauti na nchi nyingi za afrika
2:anatoa huduma ya afya bure,hii ni kitendawili kwa nchi nyingi afrika
3:ana wajengea nyumba wanaotaka kuoana,wenye miaka 21...
4:anatoa mshahara kwa wasio na kazi
5:anaendesha nchi kama nyumba yake,wanataka nini cha ziada? Au ni kusema hawajajua waafrika wenzao wanavyoteseka?
Ama hawajui viongozi wengi wa afrika ni mafisadi na watu wasio jali raia wa nchi wanazoziongoza? Ama hizi taarifa za vyombo vya habari ni za uongo,nawakilisha tujadili

Mwanangu kwani ng'ombe nguruwe mbwa nyau....hawali na kunywa tena wengine wanatibiwa na kulala vizuri kuliko mimi na wewe.
Lakini mwanadamu ni tofauti na wanyama hao
mwanadamu anacho cha ziada na ameumbwa huru.....
 
wewe unamatatizo ndugu yangu, yaani unadhania kuna njia nyingine mbadala ya kuongea na Ghadafi?
eti unasema AU ? AU ina nguvu gani kwa kiongozi yeyote wa Africa? AU is just a big crapp and gambling of leaders who know nothing what they are doing?
Kuna Somali ,Ivory cost,Tunisia, Egypt na maeneo mengine je wamefanya nini?
Libyans know much than you, they know waht are their demands?
if they could have all of what ur talking probabily they could not protest.
Umesema vyema lakini walipaswa kutumia njia nyingine tofauti na hiyo.
Inaelekea wanawaiga waarabu wenzao, mfano misri, lakini hali ya kisiasa miongoni mwa nchi za kiarabu ni tofauti. Mfano kwa nini hawakutumia viongozi wakuu wa umoja wa afrika ili wapeleke matakwa yao bila umwagaji wa damu au vyombo vingine ikishindikana ndo watumie njia mbadala?
 
Helo wana jf,
hivi kwa nini walibya hawamtaki huyu raisi wakati amefanya makubwa?
Mfano;
1:anatoa elimu bure,tofauti na nchi nyingi za afrika
2:anatoa huduma ya afya bure,hii ni kitendawili kwa nchi nyingi afrika
3:ana wajengea nyumba wanaotaka kuoana,wenye miaka 21...
4:anatoa mshahara kwa wasio na kazi
5:anaendesha nchi kama nyumba yake,wanataka nini cha ziada? Au ni kusema hawajajua waafrika wenzao wanavyoteseka?
Ama hawajui viongozi wengi wa afrika ni mafisadi na watu wasio jali raia wa nchi wanazoziongoza? Ama hizi taarifa za vyombo vya habari ni za uongo,nawakilisha tujadili

Habari hii nilisikia asubuhi BBC nilijiuliza sana hawa watu wanafuata mkumbo au nini hasa wanachotaka,kwa kweli ingekuwa mimi ni wa hiyo nchi nisingekubali hata kidogo ningepigana Gadafi abaki mbake afe mwenyewe.Jamani hali ya uchumi ya Libya ingekuwa hapa TZ tungemtoa Raisi wetu kweli?ama kweli mkataa pema pabaya panamwita.Ni haki ya Gadafi kuipigania nchi yake ameijenga mpaka imekuwa nzuri maharamia wanaitaka, watalia kilio cha mbwa mdomo juu hawajui sisi tunavyo pata taabu katika hizo nyaja.
 
Hata watoto wafamilia bora huwa wanakataa chakula manake kipo kingi, hawajui wenzao jirani hata mlo mmoja tabu. Ndio wamisri wanamkataa Gadaffi bila kujua wenzao hapa TZ hata kama huyo Gadafi wanaemkataa hatuna. Na tumetulia tuli kama misikule ya CCM.:wink2:
 
Jamani acheni kujadili matatizo ya nchi ya watu. Jadilini ya nchi yenu Tanzania.

Hapa kwenye forum akitokea mtu asiyekuwa mtanzania akatoa comment zake basi watu watampinga sana kuwa anaingilia issue za nchi ambao sio yake.

Sasa ninyi ni walibya.
 
Helo wana jf,
hivi kwa nini walibya hawamtaki huyu raisi wakati amefanya makubwa?
Mfano;
1:anatoa elimu bure,tofauti na nchi nyingi za afrika
2:anatoa huduma ya afya bure,hii ni kitendawili kwa nchi nyingi afrika
3:ana wajengea nyumba wanaotaka kuoana,wenye miaka 21...
4:anatoa mshahara kwa wasio na kazi
5:anaendesha nchi kama nyumba yake,wanataka nini cha ziada? Au ni kusema hawajajua waafrika wenzao wanavyoteseka?
Ama hawajui viongozi wengi wa afrika ni mafisadi na watu wasio jali raia wa nchi wanazoziongoza? Ama hizi taarifa za vyombo vya habari ni za uongo,nawakilisha tujadili
Hawana uhuru ndicho wanachotaka,uhuru ni muhimu kwa mwanadamu hata kama unalalia mandondo
 
Back
Top Bottom